Search results

  1. I

    Unamkumbuka nani katika maisha yako ya shule ambae ungependa uonane naye?

    Wana Jamiiforums je unamkumbuka nani katika maisha yako ya shule iwe ni primary, O- level, A- level au chuo ambaye ungependa uonane naye, lakini hujui yuko wapi? Binafsi namkumbuka...
  2. I

    Nitawezaje ku-delete Contact kwenye WhatsApp

    Hi wote! Jamani nisaidieni mwenzenu kwa anayejua jinsi ya ku delete contact kwenye WhatsApp mimi ninachojua ni kuweza ku delete kwenye conversation tu,lakini huku kwenye Contacts nashindwa na nina watu ambao sometimes sitamani hata kufungua kwenye WhatsApp contact kwa sababu ya kutopenda...
  3. I

    Msaada: Jinsi ya kutuma private message

    Habari zenu wapendwa!!! Kwa muda mrefu natafuta namna ya kutuma pm but nashindwa niingie wapi. Najua almost woote humu ndani ya nyumba mnajua, naomba nami mnisaidie nijue tafadhali. Thanks in advance.
  4. I

    Kwa wale waliosoma Ifakara sekondari

    Hi! Jamani naomba kwa wale wote waliosoma Ifakara sekondari (machipi) naomba tujikumbushe baadhi mambo ya shule yetu, 1. Mihogo ya ambanjaula 2 nesi wetu wa shule mdundiko na mwingine nesi msukosuko 3 kwenda kuiba. Ndizi na mihogo kwenye mashamba ya shule na kwenda kufichama mto...
  5. I

    Why this katika uhusiano?

    Mapenzi ya kweli yaliisha tangu mwaka 47 sasa hivi umebaki usanii tu
  6. I

    Hodi hodi wana MMU...

    Jamani mimi ni mgeni nikaribisheni tafadhali kupunguza maswali mimi me!
Back
Top Bottom