Search results

  1. Elia

    Nilipotea Nimerudi

    The home of great thinkers then where we dare to talk openly cj21125
  2. Elia

    Gari zuri lakini linapiga kelele sana

    Linapiga kelele sana, yaani kuanzia gia ya kwanza, siku ukiendesha hutakaa utake lingine. Ila utafurahi zaidi ukiliendesha kijijini kule hakuna msongamano mkubwa wa watu na nyumba zipo mbalimbali. Hivi gari la hivyo nifanyeje nalo ili niendelee kulitumia lakini nisisumbue au kukera watu?
  3. Elia

    Binti wa miaka 25 kufuatana na mama yake kila mahali ni sahihi?

    Hiyo ni kiboko ya waviziaji yaani mafisi flan
  4. Elia

    Nilipotea Nimerudi

    Ni zaidi ya miaka miwili nilikuwa sijaingia humu... sasa nimerudi naona wajukuu wengi sana na ukubwa umesogea flan amazing.... HODI am back. Missed you sana hasa jukwaa hili
  5. Elia

    Sasa nakunywa chai kwa biskuti!

    Hapo ni kutafuta dogo wa jirani jirani mbali mbali unamtuma kwa huyo mdada..... labda kama unapenda kumuangalia usoni unapo nunua Hahahaaaaaaaa
  6. Elia

    Nitazibaje pengo la marehemu mchumba wangu?

    Pole sana ndugu, huwezi kupata mmbadala wa uliyempoteza... omba Mungu upate mwingine atakaye kufaa sio atakaye ziba pengo
  7. Elia

    Nimedata na jirani yangu mke wa mtu

    Endelea na vitamaa vyako! Utageuzwa
  8. Elia

    Maskini, Maiko Wambura!

    Wambura jembe
  9. Elia

    Unampa maksi ngapi huyu dogo?

    100% 100% 100% a+
  10. Elia

    msaada

    madogo lazima watoke na bangili hapo! apigwe sachi
  11. Elia

    Kitochi

    Safi hiyoooo!
  12. Elia

    Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Ushamba tu, kariakoo kuna wazee wa vyuo kibao! wanatumia moyo kufikiri badala ya kutumia ubongo
  13. Elia

    Je mnaliona tangazo la Chai Bora...?

    Hivi haikutokea ajali hapo?
  14. Elia

    Utake nini zaidi?

    Haya ndio maisha ya uswazi kilakitu kinawezekana
  15. Elia

    Mbeya City Football Club - Special Thread!

    # Team MP D P 1...
  16. Elia

    Mbeya City Football Club - Special Thread!

    Rhino1 - Mbeya City 3 Pointi 14 nafasi ya tatu .... Amsha amsha hiyo!!!
  17. Elia

    Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

    noted for action
  18. Elia

    wanaume wa JF wakiambiwa ukweli wanakua wakali!

    twende kulala dear! Ney maa
  19. Elia

    Mtoto wa Mulugo

    Yeah, B.I.G RESULT N.O.W
Back
Top Bottom