Search results

  1. Mebuttefly

    Toka Mtandaoni: Masomo 45 ya Maisha

    5 Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
  2. Mebuttefly

    Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

    Ila dini au ulokole sio ndio ticket ya kwenda peponi.
  3. Mebuttefly

    Baada ya kukoswa koswa kuibiwa nimeamua niuze TV, REDIO, NA FRIDGE

    Niletee fridge nikutunzie nikulipe kidogo kidogo kuliko wezi wakuibie..
  4. Mebuttefly

    Wizara ya Elimu huku hali ni mbaya! Watoto mnawatengenezea Ulemavu

    Ila sishangai maana hata waalimu nao wanamapochi makubwa wamejaza Kashata, ubuyu na Kababu hawawezi kuwa na huruma.[emoji23][emoji23]
  5. Mebuttefly

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Mzee: "Unajua...ngoja nikuambie kitu kijana wangu, kwenye huu ulimwengu ukitambua wenye manufaa maishani mwako usiwape umuhimu, hawatakuumiza*. Wenye umuhimu maishani mwako usiwafanye wenye manufaa, Utaumia"
  6. Mebuttefly

    Milipuko Tabata

    Pole yake
  7. Mebuttefly

    Kwa hatua niliofikia hivi sasa naona bora nife kwa maana nimefeli hatua zote katika maisha

    Inakupasa uombe msamaha kabisa kwa Mungu wako ,wacheki wale vilema wakuzaliwa wanavyokomaa kwenye jua na kuomba lakini hawajakata tamaa, sembuse wewe una viungo vyote.Maisha ni kupambana vyeti ni makaratasi tu yale,bora urudi kijijni ukaanze upya lazima utapata kitu kwa elimu yako.
Back
Top Bottom