Search results

  1. I

    Vodafone smart mini Drivers

    Wakuu wa tech naomba mwenye kuweza kunisaidia jinsi ya kupata drivers za cm hii ya Vodafone Smart mini please anisaidie maana nimejaribu kuzidownload wapi..naimba msaada
  2. I

    Biashara

    Nina mtaji wa pesa kiasi kadhaa na niko huku mkoani Kagera, Natafuta mtu anayeweza kupata kwa urahisi vifaa vya electronics used au mpya km vile simu,Laptops,Lcds nk nahitaji mtu huyo tuweze kufanya biashara ya kutumiana pesa na mzigo..Awe tiari kufanya katika bei iliyo atleast ili tupate faida...
  3. I

    Mtaji wa Mil.4

    Wadau nimetafuta ajira imekuwa ngumu ila nimepata mchongo wa kupata kiasi cha mil.4,Niajiendeleza na masomo ya mambo ya IT na ninataka kufanya biashara hiyo hiyo inayohusiana na mambo ya Computer je hiyo biashara inalipa na je naweza kuifanya vipi na vipi mtaji wangu unatosha? Naomba ushauri...
  4. I

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    Naomba kujua nauli ya kwenda na kurudi Dubai na je kule ni kweli bidhaa za electronics zinapatikana kwa bei rahisi kidogo ukilinganisha na huku kwetu?:shock:
  5. I

    Ushauri wako ni muhimu sana hapa...

    Natumai mko salama wapendwa katika Bwana na mnaendelea vyema na shugHuli zenu za kila siku na ujenzi wa taifa hili. Nimehitimu stashahada ya ualimu katika chuo kimoja hapa nchini,kwa bahati mbaya nilifeli vipindi viwili yaani Curriculum na PE (Phsical Education) hivyo sikuweza kuajiriwa ingawa...
Back
Top Bottom