Search results

  1. K

    Vipindi vya kuripoti vyuoni

    Eti jamani naonba kama unaelewa unifahamishe. Je kuna uwezekano wa kubadilika tarehe na miezi ya kuingia vyuoni??? Au itakuwa ni vilevilw mwezi wa 10.
  2. K

    Niliacha Ualimu Serikalini, Nifanyeje ili nirudi?

    Mwaka 2012 nilipata post ya ualimu mkoani kagera. Lakini sikwenda kuripoti kutokana na mkataba niliokuwa nao kwenye kampuni nyingine binafsi. Nimemaliza mkataba na nahitaji kurudi tena kwa serikali. Hivi huwa ni njia gani zinafuatagwa??????
Back
Top Bottom