Search results

  1. 7ve

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Na sasa hivi tuna andaa proposal kwamba kuingia Zanzibar mpaka uwe na passport ila kwenda bara ni utawala wa manyani maana machogo mmezidi kuwa wengi sana huku Zanzibar.
  2. 7ve

    Lindi: 13 wafariki katika ajali kati ya Coaster na Lori

    Duh yaani tunazika watu wengi sana kwa ajali ya kugongana uso kwa uso na nyingi zikihusisha maroli lakini nobody cares government yenyewe ni kutoa rambirambi tu
  3. 7ve

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Dah kama nilivyo tabiri wanywa pombe tutakavyo semwa kwenye huu uzi shenzii.
  4. 7ve

    KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

    Sasa we unafeli wapi si unakataa tu kumpa simu mpaka aje na polisi na wakati anasema atakuferisha we si unakuwa unamrekodi then unamchana kwamba akikuferisha makusudi tu mambo yote hadharani.
  5. 7ve

    Kuna ma Star na kuna Shahukh Khan

    Duh hapo sina la kusema maana ni kanjibai kwa kanjibai hiyo ngoma draw
  6. 7ve

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Bado nasema safari za usiku ni risk kubwa mtu unatembea 160 na wakati mbele vision imepungua kwanini usivamie vicheche, hatuja sahau bado tu yule dereva wa basi alie igonga locomotive mpaka ikatoka kwenye reli leo tena mtu kavamia roli na kwa speed aliyo ingia nayo kwenye roli karibia nusu nzima...
  7. 7ve

    Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Usisahau kuweka na info za mbususu za huko mkuu nakukumbusha tu.
  8. 7ve

    Kapteni Mabior Garang akiwa nje ya nyumba ya Mama yake huko Jebel Sudan Kusini

    Hehehe ni mfano wa kuigwa kwa kweli
  9. 7ve

    Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

    Uto mnadanganywa na wachambuzi wenu wa mchongo camera iliyo ona mpira hauja ingia ni ile ya juu na ndiyo iliyo amua kwamba sio goli.
  10. 7ve

    Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

    Hahahaha hizo dalili ni wenge tu kama ulitumia pep vizuri basi ondoa shaka.
  11. 7ve

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Namtakia Mwarabu apigwe nyingi mpaka wafukuze kocha wao.
  12. 7ve

    Yanga mnaweza kuifunga Mamelodi lakini kuwazuia wasipate mabao haiwezekani, haiwezekani

    Huyo ni mgonjwa mkuu ana vyeti kabisa achana nae huwezi kuwapangia watu jinsi ya kuishi.
  13. 7ve

    CAIRO: Kocha wa Al Ahly aambiwa asipoifunga Simba goli 3 kwa Mkapa ajira yake itakuwa matatani

    Uto mna weweseka sana na huo mwiko huko nyuma na utawapa shida sana hiyo jumamosi.
  14. 7ve

    Watu kuingia Uwanjani bure ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa

    Sasa hapo una anzisha vita ya wazi kabisa kwa uto..wakianza kuku popoa mawe sie tutakuwa wapenzi wasomaji tu japo umeongea ukweli.
  15. 7ve

    Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

    Hahahaha mkuu ndiyo zile gari za mikate na juisi zilizo pata ajali ya kugongana nini?
  16. 7ve

    Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    Mwisho wa siku mtu utaonekana dishi hivi hivi
  17. 7ve

    Weekend ijayo kuna mechi ngapi za kimataifa kwa Mkapa?

    Uto ndiyo wanapiga kelele maana si ndiyo kipofu kaona mwezi utasikia "nimeonaa,nimeonaaa,nimeonaaaaaaa.
  18. 7ve

    Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

    Ilo swali waulize uto sisi tusha watoa jasho waarabu huko kwao wenyewe habari wanayo
  19. 7ve

    Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

    Hehehe uto akishatolewa mwiko mbele na nyuma ata anza kusema Mamelodi sio level zao.
  20. 7ve

    Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    Hahahaha msomali amekataa kuvaa jezi ya uto yeye ana vaa ya Simba tu.
Back
Top Bottom