Search results

  1. M

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Wanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na Bunge? Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo serikali haitaki ijadiliwe sisi kama wananchi ambao tumewachagua wabunge hawa tunapenda kuonyesha...
  2. M

    Rais Kikwete na safari za nje

    Pamoja na kufurahi kumuona Rais wetu akisafiri katika mikutano ya kimataifa, nimefuatilia na kuona kuwa rais wetu anasafiri sana na kuhudhuria mikutano mingine ambayo ingeweza kuwakilishwa na makamu wake, waziri mkuu au mawaziri maalum wa wizara husika. Mfano mkutano wa juzi wa Afrika Kusini...
  3. M

    Kikwete: Mapinduzi ya kilimo ni muhimu

    Wakati Mheshimiwa Mkapa anamaliza uongozi wake alikiri kuwa eneo mojawapo ambalo halikupewa umuhimu katika uongozi wake ni KILIMO. Kutokana na jinsi Mheshimiwa Raisi Kikwete alivyoanza katika kasi yake bado sijaona kama kweli suala la kilimo limo sana katika ajenda. Hivyo napenda kutoa ushauri...
Back
Top Bottom