Search results

  1. M

    Zitto Vs Spika

    Nionavyo ni kuwa Spika anatapatapa, hajapata pa kushika.
  2. M

    Kashfa ya Richmond: The FACTS

    Ukweli utajulikana, lkn nina shaka na utekelezaji wa Ripori itakayotolewa.
  3. M

    JF Exclusive: The Buzwagi Contract

    Kaaazi kweli kweli!!
  4. M

    Wanaoshindwa kazi waagizwa kujiuzulu

    VIONGOZI wa umma wametakiwa kujiuzulu nyadhifa zao wanaposhindwa kutekeleza wajibu wao, ili kupisha wenye uwezo kuchukua nafasi hizo na kuliwezesha taifa kufanikisha malengo yake ya kuleta maendeleo katika jamii. Hayo yalisemwa juzi na Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein, alipokuwa...
  5. M

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Kutimuana kwa CCM haina maana kwamba ndio Upinzani utaimarika kwa hao waliotimuliwa kujiunga na Upinzani, kwani kama Kigezo cha kutimuliwa ni Ubadhirifu na utovu wa Nidhamu, sidhani kuwa watakua waadilifu wakiingia upinzani, bado wanadamu ya KiCCM hayo watakuja kutuvuruga tu hao, hawafai.
  6. M

    Matatizo ya Tanzania na mapendekezo ya wana JamiiForums

    Hongera sana Mzee Mwanakijiji kwa Hoja yako, nakuunga mkono mia kwa mia, ni kweli kuna haja ya CCM kubadili huo utaratibu wao wa Kiimla na kuwatumia wasomi wengi tu wa nchi hii ambao si lazima kuwepo ndani ya CCM ndio wawaone ni wenzao. Maendeleo ya nchi hii ambayo ni yetu sote yanahitaji sana...
  7. M

    East African Federation (EAF) public Views

    Nalazimika kuungana na jamaa mmoja anayeitwa Miontini ambaye aliandika makala kwenye jaida la Rai yenye kichwa cha habari "Wanaiangalia Tanzania yetu kwa jicho la Husda" Ni ukweli usiopingika kwa sasa watanzania hatujajiandaa kwa namna yeyote ile kufaidika na jumuiya hii, na vilevile ni...
  8. M

    Mbowe na tafakuri zake...

    Mpaka sasa sijaona hoja ya msingi ambayo wenzangu wana JFtumeshindwa kuelewana, mimi kama mpinzani bado sioni kosa kwa kuhojiwa Mheshimiwa Mbowe, tatizo liko wapi? Nafikiri tuache malumbano tuwapishe wenye kuweza kujibu maswali watusaidie.
Back
Top Bottom