Search results

  1. P

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    watoaji/mtoaji wa hiyo twisheni ni akina nani?
  2. P

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Inategemea unaongelea levo gani brother kilemi. researcher ndiye nadhani anatakiwa ajitafutie mwenyewe vitu gani asome na kwa staili ipi. Kwa mwanafunzi (pupil au student) hata awe wa PhD anatakiwa apate mwongozo na msaada wa mwalimu wake (tuisheni) maswali kumi kivipi, sijakuelewa point yako...
  3. P

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    mama joe, sina details za ndani kuhusu hii programu lakini sioni ubaya wake ikiwa nia ni kuwasaidia watoto wa kike wapate fursa sawa na wenzao wa kiume. Ni jambo la kitambo maana nililisikia miaka 2 au zaidi iliopita. labda walionufaika na hii programu watafutwe watupe feedback maana si jambo...
  4. P

    Tanzania ends Q1'09 with 13.9Mn mobile subscribers

    wangefanya vyema kutuletea mchanganuo wa hizi simu kwenye maendeleo yetu ya kiuchumi kama taifa..je kuna kitu tumefaidika kama watumiaji? je watoa huduma wanalipa kodi ipasavyo n.k.
  5. P

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    brother umeelezea vyema.sasa mleta hoja aje a-clarify ili tuwe pamoja.
  6. P

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    mama joe, hili la coet si hivyo kama unavyolielezea. Program (sio twisheni) inayoendeshwa coet kwa taarifa nilizonazo imelenga kuwasaidia watoto wa kike, kuwaandaa kwa ajili ya masomo yanayotarajiwa kuanza. Nia ni kuhakikisha wanamudu masomo yao na kuwahamasisha kuchukua masomo ya sayansi...
  7. P

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    ndugu yangu kumbuka elimu sio vita. na unapoitafuta elimu lazima uzingatie kuokoa muda na nishati. kwanini mwanafunzi ahangaike kusoma vitabu kama UP 10 wakati anaweza kupata summary ya topics za fiziks kwa Mkandawile zinazoeleweka vizuri na kuwekwa pamoja? Kumbuka hao watoa twisheni wametutoa...
  8. P

    Good school at afforadble fee

    Hii FEZA nakumbuka vizuri ni ya Waturuki. Kuna kipindi jk aliwahi kufika hapo ila baadae akaja kuirusha hewani kuwa ada zao ni astronomical.
  9. P

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Kwani ubaya wa twisheni ni nini?
  10. P

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Great thinkers haya yana ukweli? labda mleta habari hajafanya uchunguzi wa kina.
  11. P

    Pied Piper

    sawa kaka. nimekuelewa. mimi ni mgeni hapa Jf baada ya kuwa msomaji kwa wiki mbili tatu nikaamua si vibaya kujiunga nanyi. matumaini yangu jf ni mahali pa kujenga fikra endelevu kwa faida ya wote(wenye kuhitaji). wenye nia mbaya nitawaepuka. asante sana.
  12. P

    Pied Piper

    Asante sana mh.
  13. P

    Pied Piper

    Salama kabisa brother. Nafarijika kuingia kwenye forum.
  14. P

    Pied Piper

    Thanks brother.Nimekaribia.
  15. P

    Pied Piper

    Waungwana salam sana. Mimi mgeni.
Back
Top Bottom