Search results

  1. M

    Rufaa ya Babu Seya, tumuombee atoke?

    Kwa mujibu wa jinsi kesi ilivyokwenda jana na maelezo ya Wakili Mabere Marando mimi ninasema Babu Seya na wanae wataachiwa kwani kulikuwa na ukiukaji mkubwa wa kanuni za uendeshaji mashtaka. Na kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa Upande wa Mashtaka haukuthibitisha hatia ya washtakiwa bila ya...
  2. M

    Ortello Business ya Loliondo yaanzisha kampuni ya simu bila leseni!

    Jamaa huyu wa Falme za Kiarabu ameigeuza Loliondo kuwa sehemu ya nchi yake. Naamini kuwa hii ni kukiuka Ibara ya 28 ya Katiba ya nchi yetu kuhusu ukamilifu na umiliki wa nchi yetu. Je si kosa la uhaini kuitoa nchi yetu kwa watu wengine? TCRA kumbana mwekezaji Loliondo Imeandikwa na...
  3. M

    Introduction

    Napenda kuwasalimu na kushirikiana nanyi katika mtungo huu hongera sana kwa makala nzuri. Ila huwa sipendi watu wanaopenda kuchanganya mambo mazito ya majaliwa na nchi yetu na chuki au hisia za kidini au ukabila.
Back
Top Bottom