Search results

  1. FRANK SHIRIMA

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    1. Ukawaaaaaaaaaa
  2. FRANK SHIRIMA

    Mwanamke na mwanaume wanasana guest wakiwa wanavunja amri ya sita mitaa ya Bunju

    Kama jamaa kakataa kuja basi ilikua njia ya kutafuta pesa maana kaanza kudai 4m mapemaa. Sasa zitoke kwa nani?
  3. FRANK SHIRIMA

    Ubakaji ndani ya ndoa umeongezeka - LHRC

    Kubalianeni. Na ndo chanzo cha kuchepuka. Ila sometimes ukisema uvumilie je yeye atakuonaje?
  4. FRANK SHIRIMA

    Ni nini kinasababisha watu kuchepuka

    Kazi ipo hapo. Siku hiz watu wakikutana hanimuni wanachati kwanza na x wao bfore
  5. FRANK SHIRIMA

    Wanaume ni viumbe wabinafsi sana na wasiokuwa na utu

    Si bure. Yamekukuta. But sio wote wako km wakooo. Baba yangu alinilea sana na sasa hiv naish nae. Usinitie ujinga eti ni m baya. Ww uko na shda asee. Mm naamin chanzo cha shida na matatizo yote duniani ni mwanamkeee.
  6. FRANK SHIRIMA

    Kwa waliokosa mkopo

    Mi nilisoma mwaka mzima bila loan. Ila mwaka wa pili niliomba nikapata. Ila nchi hii n ya kiboya sana asee. Watoto wa maskin ndo wakunyanyasika daily
  7. FRANK SHIRIMA

    IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

    Kama ikitoke itakua nafuu sana. Ila tusubir maana hii ni tanzania a.k.a poor implementation method must applied
  8. FRANK SHIRIMA

    Mwanamke sio sabuni, haishi

    Watu wenye maneno kama hayo mara nyingi ni nyuki wa mashineniii. Hawaumiii. Pita hiv
  9. FRANK SHIRIMA

    Phone contacts

    Ni shedah
  10. FRANK SHIRIMA

    Utawasaidiaje hawa???

    Ni zaidi ya circle hiyo. Duh
  11. FRANK SHIRIMA

    Maajabu ya first year muhas

    Watadisco kiulaiiniii
  12. FRANK SHIRIMA

    Utawasaidiaje hawa???

    BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME (anampigia mpango wa kando):Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week...
  13. FRANK SHIRIMA

    Eti mazoezi ya JKT yametoa bikra yake

    Kapigwa na mjedaaa. Mm niko na case study moja hiv.
  14. FRANK SHIRIMA

    Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

    Piga kk. Ila sometimes jaribu kukataa uone action yake na kauli pia.
Back
Top Bottom