Search results

  1. Kimaa cha mani

    iPhone za Makumbusho zina nini?

    Mimi nimevutiwa na hili neno refurbished tuu kwakweli, imenikumbusha enzi za bikira refurbished
  2. Kimaa cha mani

    Kuoa kwa harusi au bila harusi kipi bora?

    Mwache anataka kuanza kusema samahani blaza ni shetani alitupitia
  3. Kimaa cha mani

    Kuoa kwa harusi au bila harusi kipi bora?

    Bahati mbaya hana simu
  4. Kimaa cha mani

    Zarina Hakujiandaa kwa Shambulio la kustukiza

    Nachowaza huko sauzi Korea asije akaiba demu wa jumong, maana huyu dogo mjinga saana kwakweli halafu aje atusimulie alivyompatapata haka katoto kashenzi sana
  5. Kimaa cha mani

    Chatu ammeza Nungunungu , kilichofuatia hiki hapa

    Wilyaa na kisambasamba chakukilabu
  6. Kimaa cha mani

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    0784422446 mniunge kwenye group wakuu,COYOG
  7. Kimaa cha mani

    Kuoa kwa harusi au bila harusi kipi bora?

    Mke wangu mtarajiwa amekataa sherehe kasema tufunge ndoa turudi nyumbani tuendelee na ratiba kama kawaida....
  8. Kimaa cha mani

    M-Pesa sio salama

    Kunawatu wananamba za mawakala kabisa kichwani,ukiingia muamala wanatoa juu kwa juu na wanasema hajaona kitu
  9. Kimaa cha mani

    Nifundisheni kutongoza msichana ambaye ndio mara ya kwanza kumuona.

    Jitahid umuone akiwa peke ake,piga rungu la shingo akikata moto maliza yako sepa zako wengine wanaaibu tuu
  10. Kimaa cha mani

    Picha ya Dkt. Mauki na binti yake imekuwa na mjadala mkubwa FB

    Kizazi hicho kinaakili saana "mitandao siku za usoni itakuja kutuhukumu" huwezi ingilia maisha ya mtoto ya baadae.
  11. Kimaa cha mani

    Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

    Mwingine anajifanya anataka mke wa mtu kumbe anataka mume wa mtu,shida afumaniwe ananiliwe mwili wake uchangamke....vipumbavu saana vimtu vya sikuhiz
  12. Kimaa cha mani

    Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

    Tatua tatizo lawama acheni ngozi nyeusi sisi buana:Mleta maada nimemuelewa kama MTU anayetaka ushirikiano jinsi na namna ya kumshinda MTU mwenye akili kupita sisi,anazungukwa na matajili na wenye akili wenzake anatokea katika taifa pendwa na pendelewa tunakosadiki ndiyo wenye biblia na akina...
  13. Kimaa cha mani

    CHADEMA yatoa tamko baada ya Mbowe kutajwa katika listi ya Makonda

    Mlitaka mapapa aache vipapa ss tena mnataka nini? Kuthubutu in hatua tosha saana kwa jamii yetu hii yenye woga na hofu kuu,japokua hisia zangu asije akawa anatengeneza mazingira ya monopoly kwenye hii biashara
  14. Kimaa cha mani

    Captain Jack Sparrow

    Nilikua nashangaa kwann hamkusema neno juu ya movie yake the rum diary [emoji2] jamaa walikua wanaweka pombe mochoni halafu wanaangalia TV kwa jirani hahahaaa pumbafu saana Johnny Depp, hata kwenye the tourist kafanya tofauti saana
  15. Kimaa cha mani

    Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

    Labda pia maada inahusu warembo wanaojiuza, maana masogange unyofoe peke ako tuu na eti uweke ndani mtiani aisee
  16. Kimaa cha mani

    Simulizi ya 'GERANIMO' kwenye front page za magazeti..

    Haka kanchi kanakomedi chifu, hivi vidole vitauma kubishia mijitu ambayo hayajasoma makala hata moja, au wamesoma moja nyingine hawajasoma ngulumbili achana nao mzee, we leta tuu vitu vizuuri wakusoma tusome wakusema vwatasoma baadae ili wabishe waendelee. Ila weka vitu mkuu
  17. Kimaa cha mani

    Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    Mkuu the bold kuna mtu anaitwa mohamed boudia anatoka Algeria alikua anafanana saana na carlos hemu fuatilia hyo pia
Back
Top Bottom