Search results

  1. H

    CRDB: Sikio la kufa!?

    Asante kwa shule hii,i think its vital we all listen and learn than speculate and shout
  2. H

    CRDB: Sikio la kufa!?

    Iam sad to say kwamba ur the dumbest,stupid and currupted minded person ever.yaani umefikia kutukana utanzania wetu kwamba ni ujinga,upumbavu na unyani?unatukuza uzungu?unatukana kwenu? modern day slave huh? pity
  3. H

    CRDB: Sikio la kufa!?

    Isae! Una uhakika kwamba unakatwa elfu tatu kila mwezi? mimi pia ni mteja mwenye akaunti yangu na ya mtoto,nijuavyo mimi benki ilitukata elfu 3,000 mwezi wa nane kama malipo ya card ya visa! sidhani kama wateja wote wa CRDB nchi nzima wangekaa kimya kwa kukatwa elfu tatu kila mwezi!kuwa mkweli...
  4. H

    CRDB: Sikio la kufa!?

    hapa hakuna fact yoyote zaidi ya speculations,huwezi kusema kwamba a leading bank in the country itaanguka na kufa just bcoz DANIDA wanauza shares zao!Kwani shares zikiwa owned na locals huo sio mtaji?when will we wake UP from this Neo-colonialist syndrome?mbona wengine wanaweza? Au mwekezaji...
  5. H

    Bongo Flava

    jamani last week nili attend concert ya Yossour N`Dour na Angelique Kidjo hapa dar.Nadhani wasanii wetu wanahitaji kujifunza sana kutoka kwa hawa legends
  6. H

    Mwanamke mavazi!

    haya haya
  7. H

    CRDB: Sikio la kufa!?

    Inasikitisha kwamba forum hii ya great thinkers tunazungumzia jambo la uzushi kwa benki ambayo ndio imebeba uchumi wa Tanzania. Je tunayo elimu ya kutosha kuhusu masoko ya hisa na utendaji wake au tunakurupuka tu? Kwa nini tusiombe wataalamu wakatusaidia? Hii ni forum nzuri ya kuzungumzia...
  8. H

    Crying for Argentina....

    hallo
Back
Top Bottom