Search results

  1. M

    Anaweza kuzaa na mwanamume mmoja tu hapa duniani!!!

    asante sana kwa ufafanuzi mzuri dadangu, uibarikiwe sana
  2. M

    Anaweza kuzaa na mwanamume mmoja tu hapa duniani!!!

    mkuu, enzi hizo nilikuwa bado sijawa mbunge. nilikuwa najulikana kwa ID ya mgombea ubunge. nilibadili ID baada ya kushinda kiti cha bunge kwa mara yangu ya kwanza katika uchaguzi mkuu uliopita ni katika kuweka tu kumbukumbu sawa
  3. M

    Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!!

    nimefurahi kusikia ulifanikiwa, hongera sana na nakutakieni kila la heri
  4. M

    fursa za uongozi wa kisiasa ndani ya CCM

    mkuu, natumanini wakati unaadika haya ulikuwa hujaijua vyema dhamira ya mwenyekiti wa CCM na hata hukuwa umenielewa vizuri nilichokisema kwenye rai yangu ya kuwataka vijana tujiandae mapema kushiriki chaguzi mbalimbali ndani ya chama hapo mwakani. mfano wa Nape ulioutoa, nafikiri wewe mwenyewe...
  5. M

    Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!!

    jamani akina mama habari zenu, poleni na mjadala naona mnaumana kisawasawa. ila msing'oane meno jamani, tumtakieni heri mwenzetu anayeolwa kila la heri Judith
  6. M

    Ivory Coast: The Fall of the stubborn Laurent Gbagbo.

    kapata malipo ya awali (advance) kwa unyama aliowafanyia watu wa ivory coast hapahapa duniani wanasiasa tumuogopeni Mungu, hata tukifura kwa kiburi cha utukufu wa kisiasa namna gani, tukumbukeni Yeye yupo na hafanyi negotiations na wapumbavu.
  7. M

    Mrejesho kuhusu Uwakilishi Wangu katika Mkutano wa pili wa Bunge

    mh. John Mnyika, hongera sana. napenda kukiri kuwa wewe ni mmoja wa wanachadema walio hazina kubwa sana kwa chadema yenyewe na Tanzania kwa ujumla. nafurahishwa sana na umakini wa hoja zako na ujasiri wa hali ya juu unaoambatana na busara ambayo kwa kweli sikuitegemea kutoka kwa kijana wa umri...
  8. M

    fursa za uongozi wa kisiasa ndani ya CCM

    Wapenndwa wanaJF, natumaini mnaendelea vizuri na kazi za ujenzi wa taifa na mijadala mbalimbali iliyopamba moto kila kona ya mchi yetu juu ya masuala muhimu ya mustakabali wa taifa kama sio kabali zinalopigwa taifa kwa sasa. Nimekuwa nikitafakari sana hotuba ya mwenyekiti wa chama chetu...
  9. M

    Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

    inasisimua sana, so sad. we engage in suicide missions everyday without our notice, lo!
  10. M

    Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

    ndiyo maana nimejicomit kuwatumikia na kuwasaidia watu. for me this role in politics is a God given. tutafika tu ndugu zangu, tushikamane na kupiga vita umasikini, maradhi na magonjwa kwa nguvu zetu zote
  11. M

    MUAJI YA KINYAMA ARUSHA: Mwema, Nahodha na Kikwete Mjipime Kubakia Madarakani

    Wapendwa wanaJF na watanzania wenzangu wote, Nichukue fursa hii kutoa pole zangu za dhati kwa watanzania wote kwa msiba mkubwa uliolikumba taifa kutokana na mbinu dhaifu, zilizopotoka na mbaya za ulinzi zilizotumiwa na jeshi letu la polisi kwa maelelkezo ya viongozi wao na kusababisha maafa ya...
  12. M

    Behind any frustrated man there is a woman

    kweli kabisa, malezi ya watoto ni kitu muhimu sana kuzingatia. ila kuna suala la ukimwi nalo si la kupuuza kwa kiwango chpchote. uzinzi ni tendo baya sanna. usimfukuze nyumbani wala usigombane naye ila mweleze kila unachokijua juu ya uzinzi wake na huyo rafiki yake na ummtume akamwambie huyo...
  13. M

    CCM itavuka changamoto hizi; Kidumu Chama cha Mapinduzi!

    jamani nawashukuruni sana nyote kwa kuchangia hakika CCM itavuka salama changamoto zote KIDUMU CHAMACHA MAPINDUZI
  14. M

    UJUMBE WA MBUNGE: Shukrani, Twende Kazi!

    hongera sana mheshimiwa john mnyika. ulipata ushindi mzuri na wa kujivunia na umeanza vizuri kazi uliyopewa. mimi pia ni mmoja wa wakazi wa jimbo lako kwani nina makazi kimara na muda mwingi familia yangu inaishi huko, kwa hiyo wewe ni mbunge wangu na ninaona fahari kuwa na mbunge kijana...
  15. M

    CCM itavuka changamoto hizi; Kidumu Chama cha Mapinduzi!

    ndugu watanzania wenzangu kwanza nichukue nafasi hii kuwapongeza na kuwatakia utumishi mwema wenye mafanikio mawaziri wote walioteuliwa katika wizara mbalimbali pamoja na wasaidizi wao. nawahalkikishia pia ushirikiano wangu katika kutimiza majukumu yemnu mliyokabidhiwa kwa manufaa ya serikali...
  16. M

    Elections 2010 Mapungufu ya sera ya elimu bure

    jamani tujadili issues, mimi nimeongelea nilivyojibu sera ya elimu bure ya chadema, kama kuna maoni yangetolewa ingenisaidia hata katika utumishi wangu, kama hakuna maoni, nanti mtakuwa mmeshindwa kuboresha utumishi wangu japo nimewapa fursa. hata hivyo nashukuru nimepata mengi sana ya...
  17. M

    Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    mahakamani ndio kuna suluhisho la kila jambo. ila mahakama kama mojawapo ya chombo cha dola inaweza kuathiriwa na siasa. mimi kama mwanasiasa kijana napenda hata mahama yetu (ya tanzania) iwe critically examined
  18. M

    Zitto Kabwe kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni?

    hawa chadema waangalie wasije wakaharibu mambo
  19. M

    Elections 2010 Mapungufu ya sera ya elimu bure

    tulizeni hisia zenu ndugu, angalieni mustakabali wa taifa kwanza. hivi kwako habari ya maji ya bomba jimbo zima ni ndogo? tena kwa nchi kama yetu? haya ndugu sikiliza muziki kutokea dodoma
  20. M

    Elections 2010 Kwa kumuapisha Shein Wamevunja Katiba ya Muungano?

    sheria za katiba zina utaalamu wake. kmbuka hii si mara ya kwanza kuwa na situation kama hiyo.
Back
Top Bottom