Search results

  1. Godlove Yamo

    Matokeo ya mtihani kidato IV Jumapili

    Shake Money, Eti kwa kawaida matokeo hutolewa April!!! WE MTANZANIA KWELI?
  2. Godlove Yamo

    Makengeza huitwaje kwa Kiingereza?

    Trick! Iwe ni katika kujipanga kukamata mwizi au uwanjani kwenye mpira kama ulivyofafanua kwenye maelezo yako ya awali! Ni maoni yangu tu.
  3. Godlove Yamo

    Marando: Kikwete mtuhumiwa Escrow

    Bunge si limeanza! Pachimbike tu ili tujue MNAMAANISHA basi!
  4. Godlove Yamo

    Viwanja vya bei poa katika Wilaya ya Ilala kata ya Chanika kuanzia Shilingi 1, 500.000/=

    When big deal seams to be very easy, THINK TWICE!
  5. Godlove Yamo

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nimesikitika kukosa aina ya V na VI ya kuku, VP unaweza ukatujumuishia? Pia nakushukuru kwa kazi nzuri dhidi yetu!
  6. Godlove Yamo

    Utunzaji wa vifaranga

    Nimependa sana kuona UZI wa KUBOTA aliouandaa kwa muda mrefu kidogo ukitendewa haki kwa vitendo, kwakweli MUNGU AMBARIKI aendelee na moyo wa kutusaidia vijana.
  7. Godlove Yamo

    Kwa waliozaa kabla ya ndoa

    Upo kijiji gani? Ndoa ina miaka 10, mtoto atakuwa na miaka 11... Je, ni wa kusindikizwa na dada kweli? Ila nadhani unahitaji ushauri kutoka kanda ya ziwa, hasa hasa MARA.
  8. Godlove Yamo

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Mmh! Yani unahitaji kuonyeshwa pa kuyapeleka hayo maziwa! Yani mfano akwambie "peleka makanisani, misikitini, kituo cha polisi, jeshini, hospitalini n.k?" Nina wasiwasi bado utamuhoji eti UKIFIKA UWAAMBIAJE.
  9. Godlove Yamo

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Hivi amebainisha kama ni kweli yu nje ya nchi? Na kama ni hivo mbona hakuzungumzia kabisa kuhusu msimamizi?
  10. Godlove Yamo

    Laana ya mzazi(Radhi): Ni kweli kuna kitu hicho?

    Umewezaje kusoma na kuchanganua alafu ushindwe kuandika Kiswahili? NADHANI HUKUTAKA BAADHI YETU TUKUELEWE, ASANTE!
  11. Godlove Yamo

    Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

    Yaonekana wewe ni KILAZA! Au huna mamlaka hapo kwako? ETI SIJUI UFANYAJE! Ok, it's simple. Nawe nenda likizo kwa kaka wako, ukakae kwa heshima na taadhima ukirudi jibu utaliona na wala si kuambiwa! UBONGO MZITO.
  12. Godlove Yamo

    kiwanja kinauzwa

    Mmh! Maeneo hayo mbona bei yako iko juu sana!
  13. Godlove Yamo

    Kuku wa kienyeji nimda gani hutumia hadi kufikia kuliwa

    Ajibu kwanza then ndio aanze kuiwamba hiyo ngoma take.
  14. Godlove Yamo

    Vacancy: Lake Oil Group

    Mmh! Hao jamaa noma, wakikutuhumu tu WANAPIGA 0713... yako na wana wembe wa makucha ya serikali, INAKATISHA TAMAA!
Back
Top Bottom