Search results

  1. Calamity

    Umuhimu Wa Masaji ya MIGUU.

    Anza leo!!!
  2. Calamity

    Jinsi ya kuvuna gas ya biogas na ikasaidia matumizi ya kawaida

    Wataalam nisaidieni kuna mitambo ya kusafisha majitaka hapa kiwanda cha bia cha serengeti iliyofungwa na kampuni ya Waterleau ya Belgium na katika Recirculation ya maji kusafishwa, kuna mabomba yameelekezwa ndani ya visima vya maji taka ambapo hufyonza gas iliyomo mule ndani ya matenki...
  3. Calamity

    Interesting: Lawyers Vs Engineers

    Hatari!!
  4. Calamity

    Natafuta kazi, opareta wa mashine

    natafuta kazi ya operational kitengo na uzoefu wangu miaka{ 3} in waste water treatment plant mahali: niko mwanza mode of operational: auto and manual in all sphere na master kila kitu. mahali popote penye hiyo kazi naenda kufanya ila pawe na uhakika kuwa chance ipo. pawe ni...
  5. Calamity

    NDC Kibaha Project

    Samahani Wakuu! Mwenye taarifa yoyote juu ya kuanza mradi wa Kibaha anijulishe.....Nimeleta hapa Jukwaa la siasa, sababu naelewa wengine humu waweza kuwa wahusika au wanasubiria kama mimi! Hii Ajira Nimeisubiri sana,hadi nimekata tamaa na kujiunga na buku saba project hapa Lumumba! Please...
  6. Calamity

    wapi nitapata sehemu ya muchepuko?

    Mimi niko kwenye basi morro-Mwanza je wapi naweza pata kamchepuko huko mwanza?. NITA KAA SIKU MBILI. Jamani nisaidie niko hoi wapendwa.
  7. Calamity

    Ukatili

    Jamani wakubwa nimeshuhudia mambo haya yakifanyika jana usiku wa tarehe 14-08-214 saa 2.00 baba mmoja tena mtumishi wa umma ambaye ni dereva wa gari la SU mali ya wizara ya kilimo na mifugo hapa jijini mwanza anayeishi nyakato eneo la Mahango karibu na (fance ya gachuma) Baada ya kurudi kutoka...
  8. Calamity

    certificate ya marketing

    wakubwa nisaidieni maaana nchi yetu ndo ilivyo maisha magumu sisi watoto wa maskini mdogowangu kapiga mwaka wa kwanza kakwama na mimi ndo nimeishiwa wapi anaweza pata taasisi au kampuni au shirika la kujibanza kwanza lili akatafutekaro najua ndoto yake ilikuwa ni kupiga hadi masters degree...
  9. Calamity

    Uume kusinyaa kwa miaka mingi

    Wanajamvi naomba ushauri wenu mimi sijaoa umri wangu ni miaka 27, tatizo langu ni uume wangu kulingana kama wa mtoto mdogo ila nikija kugegeda ndo unatoka na kuwa wa mtu mzima kitu kinacho nipelekea kuogopa kuutoa mbele ya wanaume wenzangu. Sina tatizo lolote la kiafya mi nikofiti je ni nini?
  10. Calamity

    Anaye jua kiwango cha mshahara wa askari magereza

    Wanandugu tujuzane mwenye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza ambaye hana taaluma. Maana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko sababu viwango vya utumishi vya TGS take home yake huwa inapungua naombeni msaada.
  11. Calamity

    Kiwango cha Mshahara wa Askari Magereza

    Wanandugu tujuzane mwenye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza maaana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko sababu viwangovya utumishi vya TGS takehome yake huwa inapungua naombeni saada.
  12. Calamity

    Nafasi za kazi ya udereva

    Habari za mcha huu wakuu naomba msaada wenu juu ja hili nina ndugu yangu anatafuta nafasi ya udereva na ana madaraja yafuatayo; A, E, C na nimzoefu na amewahi kufanya makampuni yafuatayo SBC Mwanza branch ,coca cola miaka ya 2000, na makampuni mengi ya kitalii na analeseni mpya kuanzia...
  13. Calamity

    Nafuta chuo chochote kile cha serikali

    Mimi ninadogolangu (form four leaver 2012) anapoints 29 namtafutia chuo chochote lakini kiwe nicha serikali kwa mwaka wa masomo 2014/2015 wadau nisaidie ninashida ya huyu dogo.Ahsanteni no 0765469266.
  14. Calamity

    Natafuta kazi

    Mimi nina mdogo wangu amesomea kozi ya drivings and mechanics engeering kutoka chuo cha Arusha Tech. Naomba mwenye kujua nafasi yoyote kwenye makampuni au taasisi, mashirika ninaomba anisaidie. Kwasasa yuko kitaa zaidi, chochote anaanzia. Habakui kazi no.0765469266. Nitashukuru wadau...
  15. Calamity

    Waliosoma mubuka shuke ya wa zazi wilaya ya muleba tufahamiane .

    Mimi nilisomea mubuka sekondari kuanzia 2004-2007.kwa sasa niko hapa jijini mwaza sbl as ETP operator.
  16. Calamity

    Natafutakazi ya Hotel Superviser

    MImi ni muhitimu wa (EastAfrica Utalii College) nina Diploma in Hotel management na mzoefu katika kazi hii kupitia sehemu mbalimbali na makampuni mbalimbali ya kitalii hapa nchini kwa sasa nipo mwanza. natafuta sehemu ya hotel yoyote yakufanya kazi.
  17. Calamity

    Nafasi ya kazi ya usimamizi wa mazingira.

    Mimi nina certificateya(Environmental Conservation and Afforestation) ninaomba mashirika makampuni au taasisi mbalimbali na Offices zinazohusiana na mazingira kwa anayejua ziripo anijuze mi niko fiti na mtaalamu wa compyuta, hata laki I mi nachukua niko kitaa sina kazi nitashukuru mkinisaidia..
  18. Calamity

    Roho mbaya haijengi.

    Ni muda sasa kila nikiposti jina la jukwaa la habari la mf basi kinatokea ---------. Sasa nimeamua ku snip sijui nahili litashindikana. Mods punguzeni roho ya kwanini, nyote mnajenga nyumba moja ya nini kugombania fito. Whatever the case badilikeni.
  19. Calamity

    Natafuta nafasi ya kazi ya utibuni maji kwenye mitambo ya kisasa.

    Mimi ninatafuta nafasi yakazi ya kuendesha mitambo ya kisasa ya utibuni maji mi ni mtaala na mzoefu baadhi ya mambo yafuatayo .ph do tss,sv,vfa and cod and plant operation nisaidie mi niko fiti , niko hapa mwanza.
  20. Calamity

    Nafasi ya mazingira na upandaji miti.

    Mimi nina certificate ya (Envirnimental conservation and Afforestation) natafuta kaziyoyote kwenye makampuni,Mashirika au taasisi yoyote inayohusiana na kozi yangu naomba mnisaidie wadau mi niko fiti hata laki 100,000/=kwa mwezi nachukua sina kazi niko hapa mwanza.
Back
Top Bottom