Hivi kumbe hata kambi kongwe ya chadema mkoani kilimanjaro wanaongoza wilaya tatu tu kati ya tisa!! na mkoani arusha wanaongoza wilaya tatu tu kati ya kumi na moja!!!
wana wilaya nyingi zaidi mkoani shinyanga ambazo ni nne, dar es salaam wanaongoza wilaya mbili tu..huko kwingine hakufai ni...
umeuliza ikulu juu ya ripoti za safari zake na matunda au hasara zake ukaona hazifai au zinafaa au unaropoka tu kutafuta mass attention??? wacha siasa za chuki, no research no right to speak wachana na taarabu za chadema...hao wanaoua watu kwa ajili ya dhahabu ndo unawaona wa maana..!!! wauaji...
Kuna benki moja rangi yake ya kibiashara ni bluu na nyeupe ina asili ya kikaburu makao makuu yake ni pale kona ya kinondoni, teller mwenye bachelor anaanza na gross ya 750,000/-, sales person wa premium yao anaanza na 1,200,000/- gross..ila wana matawi machache kwahyo hata kupata kaz huko ni...
Pesa hzo ni michango ya watanzania wengine wala sio zake..cwez kukupa ushahidi ila nina uhakika,ni kama zile harambee ambazo zinazopitishwa na viongoz wa chadema kwenye mikutano yao na wananchi..ni pesa za halali kabisa wala sio za biashara zake
bado cjaelewa wanachama wa "CHADOMO" wanapigania nini,kuongoza nchi ishakuwa ndo ndoto hvyo....mzee mtei alikuwa wap had Zitto akaenda mahakaman c angeitisha baraza kuu mapema ili Zitto asiende mahakamani aachae umbea yule mzee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.