umekosa hoja wew mbona ata wakristo unafumania MTU kapandwa halaf unakomaa eti kisa nipingu ya maisha.hayo sii maumbile mung alotuwekea njoo uislamu uone utam
haka kathread kama kaaa kiukweli ukweli sana tena mpumbav mwingine anakuuliza mpk Leo hujapata kaz??kisa yy kabaaatisha umarketing kananjaaa BT kana pretend the kanakwambia Fanya tu mpango bro uanze biashara asee wanakera kiukweli
kwanza amekupiga kitu kinaitwa tilawa hiyo nidawa yakukuzidi kauli na ndo mana mkizinguana we ndo wakwanza kuomba msamaha jombaaa ukiendelea nahuyo kimeo siku ukipata kamali kidogo atakulaza kitandandan .pia jiangalie namna unavompenda,sim yake akikupigia unajiskiaje unamuogopa au??dogo hayo...
hoja zakike kabisa yaan we unatutisha tusifuge ndevu unaakili wewe.nisawa nakuzuia bleeed ya mwanamke acha upumbavu wewe.akifuga profesa yupo bze tukifuga sisi niuchaf.shame upon you girl
Jamani ndugu,
Nimeenda kuhakiki cheti cha kuzaliwa jijini Arusha nikakutana na mtumishi alioachiwa maagizo na mkuu kwamba baadhi ya vyeti ambavyo namba zake zimetumwa Dar es Salaaam hawawezi kuvihakiki hivo nilazima tupande magari kuelekea Dar kwa ajili ya uhakiki japo cheti nilichukulia...
Wiki kadhaa nyuma waziri wanchi ofisi ya rais utumishi Angela Kairuki alitangaza kuwepo kwa upungufu wa rasilimali watu katika taasisi mbalimbali za serikali hivi wadau nyie mnaupdate yoyote kuhusu hizo ajira? maana naona kimyaaaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
usikariri kitabu ata TCU wameonesha hayo ss unataka ulazmishe udom na us view suti dogo hiyo haiwezekan.ndoana rank ya afrika ud na udom vinafanana??wew na hao wanaorank nan eanatumia vigezo zaid??au kwakua ukiangalia majengo yanarang murua unahis ndo pako juu.hamna graduate utakaemlazimisha...
kwanin kispokeee maombi meng wakat ndo chuo chuo hakina competition ma cutoff points ya 4.0 utashindwa??wakat ud cutoff minimum ni 5
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.