Nilicheka juzi, mamlambo alivyompandisha presha sma akajua anataka amtabilie kwamba hana mimba. Nae ayanda jana angepunguza haraka angejua kwamba sma si mjamzito labda
Ahmed linaenda jamn. Imagine saa kumi liko morogoro akati lenzake mbeya city linaingia moro kwenye kumi na moja ivi. Naumia sana koz mbeya to tanga ndo trip zangu, na ahmed ndo gari langu
Yani nakushauri kama mwanamke mwenzako, hapo hamna wahusiano hiyo ni one side love. Hakuna mtu yuko bize kwa anaempenda. Yuko bize kwako lakn ana muda kwa wengine. Kwan wewe oficn kwake hujawahi enda kwamba ukajionee mazingira kama kweli yanamkeep bize? Ila all in all hauko pekeako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.