Search results

  1. S

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    naomba nitumie mkugwa secondary- Kibondo Kigoma
  2. S

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Aisee, yaani wewe upokwenye daladala umebanwa unaenda kibaruani unaacha kufikiria majukum yako ya kila siku unamuwaza Diamond mtu ambaye hata hakujui? hii sasa hatari
  3. S

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    mwezi wa 2 nimeanza tarehe 15 mzunguko wa siku 30,nikaja mwezi wa 3 nimeanza tarehe 17 naomba msaada kwa hapo kwa hapo
  4. S

    Natafuta msusi nzuri wa yeboyebo

    Mpigie huyu no 0657 069 545
  5. S

    Ada ya Loyola High School-Dar

    Ada ni Tsh 1,600,000 ongeza Laki nne kwa mwaka 2014 inapanda
  6. S

    Tanzania National Identities

    mama mbavu zangu du! sikutegemea kama nitacheka leo kwa kweli...sufuri yenye masikio haijakaa vizuri hii.
  7. S

    Kitandani kwetu...

    Pole sana dada, Wengi wamechangia nadhani umewaelewa, lakini kabla ya kuchukua uamuzi usikilize moyo wako unasemaje. pili kama utaamua kumsamehe sharti moja kubwa ni kuelekea ANGAZA kabla ya yote. Pole sana dada Mungu atakutia nguvu
  8. S

    TIN Number

    Wana JF, Nina ka biashara kangu nakatafutia TIN number, kuna anayeelewa procedures za kupata na gharama zake? Asanteni
Back
Top Bottom