Search results

  1. P

    Nani anatakiwa abadilike mimi au mke wangu?

    Wadau, Hili ni tatizo lililopo kweli lakini si kama tunapigana. Nimeona nimwambie mke wangu aweze kusoma maoni ya wengine pia. hata registration hakuwa anaweza nimemsaidia. Bado naomba ushauri maana tunaongelea hali halisi na wala hakuna chochote cha kutunga wala mchezo. Hakuna sababu ya mchezo...
  2. P

    Nani anatakiwa abadilike mimi au mke wangu?

    Wapendwa, Ni sisi wale wa miaka 47 kama wanavyotuita. Nina miaka 10 na watoto mchakato! tatizo ni kuwa tulioana tukiwa pale na sasa tuko hapa. Nimepitia maisha ya aina mbalimbali nchi mbalimbali magharibi na mashariki. Mwisho nimefika mahali ambapo ninaheshimika. Nimejaribu pia mke wangu abadili...
Back
Top Bottom