Search results

  1. K

    Uhaba wa Maji UDSM

    Kumekuwa na uhaba mkubwa wa maji katika campus ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa. Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa wa wanafunzi wafanyakazi na wakazi wote wa eneo hili. Tunaomba wahusika wote kutatua tatizo hili mara moja kabla ya kulipuka madhara mengine...
  2. K

    Wawekezaji sekta ya mafuta na gesi wameweka mpira kwapani

    Wana JF habari nilizozipata muda si mrefu ni kuwa wawekezaji sekta ya gesi na mafuta nchini TZ wamepunguza uwekezaji wao kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba hata wafanyakazi katika sekta hiyo wengi wameachishwa au wataachishwa kazi hivyo basi ndoto ya uchumi wa gesi imezidi kusogezwa mbele...
  3. K

    Watupa vifusi barabarani

    Jamani binafsi nakelwa na watupa vifusi vya site zao barabarani wakijidai wanafukia mashimo kwenye barabara zisizo na lami kama barabara ya kutoka tanesco mikocheni kuelekea msasani haifai wahusika chukueni hatua
  4. K

    Ndege ya abiria Precision no PW 402 yazima injini moja angani

    Ndege ya abiria ya shirika la ndege Precision aina ya ATR iliyokuwa inasafiri kutoka Mtwara kuelekea Dar ikiwa na abiria zaidi ya 30 imepata hutilafu ikiwa angani kwenye injini yake na kuzima injini moja muda mfupi baada ya kuruka angani. Kwa bahati nzuri rubani ameweza kuirejesha ndege uwanja...
  5. K

    Utoro wa wabunge Bunge maalum la Katiba utafhitiwa na nani?

    Wana jf kwa uzoefu wa Bunge la JMT wabunge pamoja na mawaziri wamekuwa hawajudhurii vikao bus Bunge kama insvyotarajiwa. Tukiwa tumebakiza siku chache kabla ya kuanza kikao cha Bunge maalum la Katiba - udhibiti wa mahudhurio utafanywa na nani au chombo gani? Mwenye kufahamu anijuze
  6. K

    Ajali ya basi Ruvu

    Kumetokea ajali maeneo ya Ruvu na basi mawili yamegongana Super Feo limegonga kwa Nyuma Mtei Express hakuna majeruhi
Back
Top Bottom