Search results

  1. T

    Sio ubaguzi, ni sheria

    Ndugu zangu suala la ndoa ni jambo kubwa sana tafauti na tunavolifkiria, kwa iyo tunapotaka kulingia lazima tuwe sirius, huwezi kuwa wewe una mila zako, ukataka kumuowa ambae mila zako kwake ni matusi, kwa mfano utamkuta mchaga anataka akamuowe au aolewa na mpemba, sote tunajua kama mila za...
  2. T

    Niulize chochote kuhusu kisiwa cha Pemba

    ASSALAMU ALAYQUM, YAAMANITTABAAL-ULLAA, Kwa yeyote mwenye suwali kuhusu kisiwa chenye marash ya karafuu (PEMBA) na wapemba, naomba aniuleze, nitamjibu kadri ya uwezo wangu. Najua kuna mengi yanasemwa kuhusu Wapemb na kisiwa chao ki2kufu mengine ni mazuri mengine mabaya kwa uhakika naombeni...
  3. T

    Namshukuru Allah

    ALHAMDULILAH RABIL-ALAMIN. Mwenyez Mungu kaniruzuk mtoto wa kiume mchana huu MASHAALLAH, mtoto yupo na afya njema na mama yake. Kwa kweli nina furaha isiyokua na mfano mchana huu AMA CNA CHA KUMPA ALLA ISPOKUA NI KUMSHUKURU JAPO KWA UCHACHE WA SHUQRAN kwa kusema ALHAMDULILAH ALA QULLI HALI.
  4. T

    Je nimekosea?

    Juzi moja tulikwaruzana kidogo na my waif wangu sasa mi nipo seblen nachek mdahalo wa akina warioba yeye waif akaingia chumban akashika madonge eti anataka kuyameza huku ni mjamzito duh, kidume nikaingia chumban kujitayarisha ili nikaswali magharib ndo nakumban na hiyo hali nikaenda...
  5. T

    Umuhimu wa safari za nje za Kikwete

    Ebu jaman tuweke ushabiki pemben, 2jadili hili "KUTOKANA NA HALI YA KISIASA ILIVO NCHINI IVI SASA, JE KUNA UMUHIMU WOWOTE ULE WA RAIS KWENDA NJE YA NCHI KUFANYA SHUHULI ZAKE NYENGINE, BILA YA KUJUA HALI IMEFIKA PAHALI PAZURI?" Ikumbukwe kwamb yeye ndie chanzo cha yote yanayoendelea...
  6. T

    Pimbi kutoka zanzibar,.

    Ili pimbi kutoka zanzibar linalojiita Omar Zubeir linajua lakini kinachojadiwa kwenye uu mdahalo au linajitia vidole likijinuka tu. Na uyu wasira ananitishia mwanangu.
  7. T

    Used spea zinauzwa toka Japan

    Nina ndugu yangu ameniomba nimtafutie wateja wanaotaka Spea za gari USED kutoka Japan kupitia Dubai, duka lake lipo Ilala lindi na shauri moyo limeandikwa LUSAKA USED SPEA PARTS 0657617671 au 0773617671 anaitwa BADI duka lake lipo mlango watatu upande wa kulia wa gaeti la shule ya Alharamain...
  8. T

    Naombeni ushauri kuhusu kukosa hamu ya tendo baada goli moja

    Kuna mfanyakazi mwenzangu amenitaka nimsaidie tatizo lake lakini nimeshindwa, nikaona bora nije hapa jamvini nikiamini nitapata chochote cha kumsaidia. Anapofanya tendo la ndoa huwa anapiga bao moja tu lakini hawezi kupitisha hata siku mbili tu bila ya kufanya tendo la ndoa yaani anakuwa na...
  9. T

    Nisaidie ujauzito unanitesa

    Dada yangu ni mjamzito wa miez8 tatizo kaambiwa fuko la uzaz limeshuka sana, halaf kama wiki hivi anahisi maumivu ya kiuno kama ametunza taka (majipu) na chini ya kitov na K vinauma sana, je ni kawaida ya ujauzito au ni tatizo ? Ni mimba yake ya kwanza nimempeleka kwa dokta kamkanda then...
  10. T

    Homa ya dengue imefikia wapi?

    Kwa yoyote ajuwae ile FILAM ye2 ya HOMA YA DENGUE STERING DK CHENI NA RC imefikia wapi? Je imeshaingia sokani? Mi niliiacha pale mabasi ya mikoani yanapuliziwa dawa, halaf kukatokea mgogoro wa siri-kali na wamilik wa mabasi, ni bonge la FILAM usikose nakala yako.
  11. T

    Wazanzibar tunataka haki itendeke kwenye mungano.

    Utamskia mtanganyika wazanzibari 2nawapa umeme wa bure hawalipii, Je ni mzanzibari gani ambae halipi huduma ya umeme? Zny umeme umeanya kuwaka tokea 1905 kabla ata badh ya nch za ulaya, Znz hailipii chochote kwenye mungano, je Tanganyika inalipia bei gani kwenye mungano? 2naaminishwa...
  12. T

    Kilichojiri jana kwenye kikao cha baraza la wawakilishi Zanzibar

    CCM wameambiwa wabaki baada ya kikao, ndio wakambiwa kama hoja ya kuvunja SUK ipo pale pale, na wamemtaka spika wawakilishi wa CCM wasichanganyike na wa CUF kwenye baraza. Ikumbukwe kama baada ya kuundwa SUK wawakilishi walikuwa wanachananyika na hakukuwa na kambi ya upinzani.
  13. T

    Tusifanye papara kwenye kutafuta riziki

    Amesema Mtume (S.A.W) hatokufa mmoja wenu mpaka amiliki (apate) kile alichoandikiwa na Allah kukipata akipate, hivo basi asifanye kharamu mmoja wenu katika kutaka kumiliki hicho atakcho miliki. (hatuna haja ya kuiba kutowa rushwa, kuza viungo vya albino n,k km 2meandikiwa kumiliki...
  14. T

    Kificho apiga marufuku ubaguzi wa upemba na uunguja.

    Amepiga marufu Ulizaji wa mkataba wa Unguja na pemba kwani kihistoria unguja na pemba ni moja, pia wazir wa nch ofs ya makamo wa pili warais Muh'd Abudi pia ameungana na spika. WALIPOAMBIWA WAMEUFYATA DODOMA WAKAWA WAKALI. Mbona hawakusema ki2 walipokua machinjion kwao? Pia raza alitaka...
  15. T

    Utokaji wa bikra

    Nawatakieni kheri ya shughuli zenu zote za ujengaji wa taifa letu pendwa, Pili naomba kujuzwa eti mwanamke anaweza kutolewa bikra bila ya kutoka damu? Lakini huwa na skia maumivu makali wakati wa tendo kwa mara ya kwanza, na kwa mwanamme husika hua anasikia maumivu ya uume wakati...
  16. T

    Hali si shwari tena, Walemavu wafunga barabara Dar es salaam

    Walemavu wamaekaa katikati ya bara bara ya karume katikati ya njia inayoenda buguruni,magomeni, kariakoo na tmk, magar hayendi, wanapinga kupokonywa baskel zao pamoja na maeneo yao ya karume na manispaaa ya Ilala, wapo kwa mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya. chanzo mimi mwenye within KENGEJA YETU.
  17. T

    Dk: Slaa live tumaini tv.

    Anahojiwa lakin kaamua awaweke hadharan ccm kila mwenye macho awaone, anatoa siri zote walizokubaliana na serekali, lakin serekali wameshindwa kuzitekeleza ahadi walizokubaliana, Akina mwana diwani tenda iyo njoni mupotoshe buku7 isiwapite.
  18. T

    Falsafa ya maendeleo usitizame utokako, tizama ulipo na wendapo.

    Wale ccm wanaotaka kuwafitinisha UKAWA nawaomba waelewe km hatutizami tuendako bl tunatizama twendako, kwa hiyo habar ya ku2ambia km chadema walisema hivi kuhusu cuf, au Lisu alisema hivi kuhusu cuf, au vaisvasa, hayo hatuyatizami tena bali tunatizama chadema wanasemaje kuhusu cuf au...
  19. T

    GHARAMA Za SEREKALI 3 VS GHARAMA ZA S2.

    Kwa wale wanao2danganya km mungan wa sekekali 3 unagharama naomba wanijibu ili suali. Km leo kuna bajeti ya wizar ya sheria na katiba ambayo c ya mungano, lakin kuna wabunge wa znz na wao wameingia kujudili kwa hiyo wamechukua posho laki3 *75=?, je hizi c gharama, je km wizara hi c ya mungan ni...
  20. T

    Dungue yapata dawa yake.

    Nikamatien wale mbu wote wanaosambaza hili gonjwa muniletee than nikawatie mule bungeni mwezi wa nane wawatafune wale wajumbe wanaojita wengi.
Back
Top Bottom