Search results

  1. I

    Kuna nini Ikulu???!!!!

    Leo, jana na juzi nasikiliza habari za mkanganyiko uliotokea huko Ikulu, kuhusu magari ya kubebea wagonjwa yaliyokuwa yakabidhiwe na Raisi wetu siku ya Jumatatu 18/01/2010. Badala ya kupewa wilaya iliyokuwa inatakiwa kupewa, akaja mtu wa wilaya nyingine kupokea hilo gari. Mimi nashindwa kuelewa...
  2. I

    Miss Tanzania kuna nini jamani...?

    Tarehe 25/09/2009 nilikwenda Giraffee Hotel kwenye Miss Tanzania Talent show. Kulikuwa na washiriki 8 tu wa mashindano ya talent show kati ya 29: 1- alicheza kihindi 3- wakacheza ngwasuma 2- wakaimba nyimbo za Whitney Houston na Celine Dione wakachemka sana. 1- akacheza TAARABU na siyo ya...
Back
Top Bottom