Search results

  1. rasomaka

    Nauza Toyota Mark X 2006

    Make: Toyota Mark X 2006 Cc: 2490 Mileage:130,000 Seat: Leather seat 5, both front electronic Airbag; 9 Sound and Radio: touch screen and subwoofer Mirror: side mirror indicator Key: push start Price: 8,200,000 Location: Mbezi Beach Tanki Bovu Tel: 0653 029400
  2. rasomaka

    Air Tanzania ndege haijaondoka muda muafaka kisa kuna muheshimiwa kachelewa kufika

    Habarini Wakuu, Nilikuwa na safari leo asubuh ya kutoka Dar kuelekea Mji Mkuu wa Tanzania yaani Dodoma kwa kutumia shirika la ndege la Air Tanzania. Safari ilikuwa ya kuondoka Dar JNIA saa 6:00AM sharp. Nilifika mapema na kufanikiwa kucheck in na kuingia ndani ya ndege aina ya Q400. Ndege...
  3. rasomaka

    Ushauri: Nataka kujenga kwa mkopo wa Tsh 40,000,000/=

    No matter what, maisha lazima yasogee (Life has to go on). Iwapo umefiwa, masikini, nk Maisha lazima yaendelee. Na katika kuendelea na maisha mimi binafsi nimepata mkopo ofisini kwangu (si thru benki) wenye riba ya 3%only. Lengo la mkopp huo ni ujenzi ujenzi ujenzi. Nilifanikiwa kupata kiwanja...
  4. rasomaka

    Fastjet ya Mwanza-Dar ime-abort take off!

    Wakuu, Naandika hapa huku mapigo ya moyo yapo juu sana. Natokea Mwanza muda huu na flight ya saa8:25 fastjet kurudi Dar. Tumefika kwenye run-way na mbio zikaanza za kutafuta speed ya kupaa, wallahiiii ndege si wakakatiza ghafla juu na si tayari Kasuku (fastjet) yupp kibati... Aiseee zimefungwa...
  5. rasomaka

    Kuagiza gari na usumbufu wa ma-agent

    Yaani sina hata hamu. Gari yangu niliyoagiza sbtjapan mwezi wa Feb mwanzoni limefika dar tangu Ijumaa tarehe 20 Machi, lakini huo ukilitimba wa Agent wa Clearing and Forwarding niliyemchagua mbona kasheshe. Yaani yupo very manually au sijui nisemeje. Hanipi update zozote wala nini, ukimpigia...
  6. rasomaka

    Car4Sale Nissan xtrail

    Gari tajwa hapo juu inauzwa Tsh 12,000,000/=. Picha zimeambatanishwa. Kwa mawasiliano 0656994450
  7. rasomaka

    Toyota Wish inauzwa

    Wakuu, Gari tajwa hapo juu inauzwa kwa Tsh 9,000,000 kila kitu inclusive. Gari inapatikana Dar- Mbezi Beach, ninayeuza ni mmiliki halali wa gari. Picha za gari zimeambatanishwa. Napatikana 0656994450. Ahsanteni na Karibuni.234023
  8. rasomaka

    Airtel na promosheni ya kugawa magari

    Mimi nadhani kugawa magari kama zawadi kwa washindi mbalimbali wa droo mbalimbali ikiwemo Airtel, Miss Tanzania,Vodacom, Bajaji za tiGo nk hazina tija kabisa. Kwa mfano, unakuta mtu wa mjini au vijijini ambaye ana maisha magumu mnamkabidhi gari, FOR WHAT?? Kwanza magari sio source of income...
  9. rasomaka

    Toyota wish 2003 inauzwa (customized)

    Habarini, Ninauza gari yangu aina ya Toyota Wish ikiwa na maelezo yafuatayo; YOM- 2003 Car: Toyota Wish Colour- Black CC: 1800 Gear: Auto Fuel: Petrol Doors: 5 Seats 7 Registration Tanzania: End of June 2013 (CLK) Location: Dar es Salaam- Mbezi Beach Gari ipo cutomized na Mziki mkubwa...
  10. rasomaka

    Toyota wish 2003 inauzwa customized

    Habarini, Ninauza gari yangu aina ya Toyota Wish ikiwa na maelezo yafuatayo; YOM- 2003 Car: Toyota Wish Colour- Black CC: 1800 Gear: Auto Fuel: Petrol Doors: 5 Seats 7 Number: CLK Location: Dar es Salaam- Mbezi Beach Gari ipo cutomized na Mziki mkubwa (Subwoofer, Busta, Twitter, CrossOver)...
Back
Top Bottom