Search results

  1. dengeru

    W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao

    mimi pia ni mkazi wa kinyerezi lakini pia huwa wakati mwingine tunalamba bia na mh mahanga pale rufita segerea.kujadili kafanya nn hiyo sio hoja,hoja ni je ubunge wake umetokana na wananchi au viongozi wa juu?kama kweli unaishi segerea utagundua watu wamemchoka yeye na chama chake na ndio...
  2. dengeru

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    kuna wakati alikuwa anapost ujinga mara sijui jana nilikuwa disco NYC,mara kesho naenda OHIO kula bata,so wat?nikamwambia aache kupost ujinga watu wanateseka huko mtera kwasababu ya ujinga wa babayake,ananiblock facebook..
  3. dengeru

    Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

    hivi ukitaka kuwasimulia watoto wako juu ya viongozi wa zamani na mambo waliyoyafanya kwa nchii hii,malecela unaweza kumwelezeaje?
  4. dengeru

    Kwa Bomu Hili CCM 2015 Kazi mnayo

    nipo dodoma nasubiri siku wabunge wa chadema watakapotoka nje ya bunge nilipue wabunge wote wa ccm wafe,hawana sababu ya kuishi...
  5. dengeru

    Lissu abadili upepo UDOM

    we takataka mtahengerwa sijui kama umeisoma vyuo vikuu na kama ulisoma hamkuwahi kugoma,lazima mliwahi je chadema ndo waliowafanya mgome?kinachowafanya wanafunzi wagome ni kutokupata haki zao za msingi...unataka wakae kwa amani wakiwa na njaa...serikali itimize wajibu wake hutaona migomo....
  6. dengeru

    Ikulu yaandaa habari kuchafua wabunge wa CHADEMA

    rweyemamu hana kazi...watashindana na nguvu ya umma lakini hawatashinda
  7. dengeru

    Mh. Lipumba kaonyesha ukomavu wa kisiasa

    lipumba kaonyesha ukomavu wa kisiasa,kwa hili lazima tukusifie ingawa najua mtatiro(katibu wake)hajapendezwa nalo,maana yeye anawaza upinzani wa cuf na chadema sio democracy....
  8. dengeru

    KOTI la Mpendazoe lamshinda NAPE

    kijana wetu NAPE naona amenza kudelete watu wote wanaomchallenge kwenye facebook..anataka abakiwe na watu wanaomsifia hata akichemsha....
  9. dengeru

    Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

    Well said bro jamaa mlopokaji tu,hawezi kushindana na nguvu ya uma wa lowasa....hakumsikia lowasa alivyosema akukutana na jk barabarani
  10. dengeru

    Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

    hongera mkuu...saa ya ukombozi wa taifa letu umekaribia
  11. dengeru

    Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

    hata wakati DR slaa anatoa list of shame ya akina ramba na mgonja watu mlisema atoe ushahidi yeye akatulia tu,sasa akina mramba wapo wapi?akitoa ushahidi mapema atavuruga mambo wakati ukifika atatoa
  12. dengeru

    Mnyika tafadhali soma hii

    mbunge hana mamlaka ya kutoa kibali cha gari la maji taka limwage wape,hipo kazi ya halmashauri....NG'WENEKELE kama huna cha kuandika unaweza kusoma walichoandika wenzako itakusaidia pia..sio kuandika utumbo tu ili na wewe uonekane uwa unapost humu...kaendelee na kazi ya kuvua gamba huko
  13. dengeru

    Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

    na wewe unakubaliana na CCM kwamba kweli wanajivua gamba?gamba(lowasa,rostam,chenge)ambalo miezi michache iliyopita uliwaita waadilifu na ukasema tuwachague leo hii unawaita magamba,basi inabidi JK atutake radhi sisi wananchi wa monduli,igunga na bariadi na ikiwezekana tuitishe uchaguzi wa...
  14. dengeru

    Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

    inasemekana huyu dada anangoma
  15. dengeru

    Hotuba Ya JK: Tafsiri Yangu

    sijawahi kuona article ya majid ikimpinga kikwete,sielewi kikwete hana mapungufu au?hata kama wewe ni CCM damu jaribu kusimamia ethics za uandishi wa habari...hotuba ya kihistoria???kikwete kasoma alama za nyakati tu kuwa hata afanyeje katiba mpya lazima ipatikane..hana jipya muuza sura tu yule...
  16. dengeru

    Tido Mhando atemwa TBC

    hapo aliletwa na lowasa ndo swahiba wake,kazi haikutangazwa hiyo popote..nafikiri pia imemcost ile siku alipomuhoji lowasa kwa kumsafisha nakumponda pinda..lakini lowasa anaanzisha radio arusha soon abda atampa kazi huko
  17. dengeru

    Daktari wa rais Kikwete apanda cheo

    kikwete alimchagua kwa kuwa ni mtafiti katika maswala ya ukimwi..si wote mnajua JK ana umeme ana ameshabadilisha damu mara nyingi tu...
  18. dengeru

    DR Kamala Amefikiria hutuba yake? (Slaa atupiwa makombora) Habari leo

    udocta wake wa kununua hawezi kuwa na hoja za maana huyo na ndo maana wanachi wa jimbini kwake wamemwaga...
  19. dengeru

    Elections 2010 Mashabiki wa Kikwete Tuambieni!!!

    awamu ya nne 1.ongezeko la mafisadi 2.ongezeko la mfumuko wa bei 3.ongezeko la umaskini 4.ufnguzi wa barabara,madaraja aliyojenga mkapa 5.ongezeko la ada za shule,vyuo
Back
Top Bottom