Search results

  1. mpuko

    Ndoto.

    1. Nini maana ya ndoto? (Nightmare) 2. Je, binaadamu wote huota ndoto? 3. Je, kila ndoto ina maana? (Tafsiri) 4. Kwanini tunaota ndoto?
  2. mpuko

    Tigo Tanzania katika hili kweli mnakera!

    Salaam wana jamvi. Mimi ni mtumiaji mzuri na wa siku nyingi wa huu mtandao wa mawasiliano wa tiGO. Lakini ni kwa muda sasa huduma zao zimekuwa mbovu. Unaweza kutuma sms ikachukua siku nzima kumfikia mlengwa, au wakati mwingine isifike kabisa! Kilichofanya niandike hapa ni kukatika katika kwa...
  3. mpuko

    Ningependa kujua: Waasi, maharamia hupata wapi silaha?

    Habari zenu wakati jamvi. Naomba kujuzwa. Hivi vikundi vya waasi, maharamia, magaidi nakadhalika. Huwa wanapata wapi silaha, mafunzo na vifaa vingine vya kijeshi? Huwa vinapitishwa wapi ili kuwafikia? Ni nani anaevifadhili na ni kwa faida ya nani? Kwa leo ni hayo.
  4. mpuko

    Naomba msaada wenu madaktari.

    Mimi ni kijana wa miaka 33. Nasumbuliwa na kifua (kukohoa) kwa takribani miezi miwili sasa. Hilo tatizo liliwahi kunipata mwaka 2012 nikatibiwa nikapona. Sasa limejirudia tena. Hatua nilizochukua. Nilikwenda kwa Dr akanipima na kuniandikia dawa za aina mbalimbali nikatumia bila mafanikio...
  5. mpuko

    Naomba kuelimishwa.

    Nina simu yangu HTC wildfire s. Inakataa ku-conect na internet. Nifanyeje? Natumai msaada kutoka kwenu. Ahsanteni.
Back
Top Bottom