Search results

  1. R.Lewis

    Sakata la Lwakatare na sababu 2 za uthibitisho wa Mtonyaji Serikalini kuihujumu CHADEMA

    This is kind of thinking zimefikisha na kutuweka hapa tulipo, watumwa walikua wanakaa wanasema Mungu anawaona anawaathibu yaa yaa!!! baada ya kudestroy Generation after generation after generation, the day walipoanza kufight kwa haki zao Mungu akawasaidia kua free, Dont get me wrong naamini...
  2. R.Lewis

    Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    BTW mkuu wa police wa Kenya at that time may be mapaka sasa alikua muislam, navyoelewa i may be wrong
  3. R.Lewis

    Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    kuna vitu vingi ni vya kipuuzi kwenye maubiri ya huyu jamaa, kitu kilichosimama kwangu ambacho hata kwa upuuzi huu sikielewi, ni kwamba anaonekana kuamini sheik Aboo ameuawa na serikali, lakini anaadvocate auliwe padri, baadaye ana somewhat compromise kuuliwa kwa vipolice alivyotamka, ok padri...
  4. R.Lewis

    Kiingereza aibu kwa mawaziri wa JK

    Achaani ujinga usilinganishe Kiingereza na kiswahili basi kama ni hivyo ukitoka Usukumani huna haja ya kijua kiswahili ongea tu kisukuma, Kuongea lugha nyingi kunakuongezea usahi na upana wa mawasiliano na kingereza ni lugha kubwa sana so ni plus kuijua zaidi ushamba huu huu ndio unatuweka hapa...
  5. R.Lewis

    Chadema hakujiandaa kabisa

    Is sad Chadema always try to fight from behind, unajua nyinyi ni timu changa mnaachia mabao 5-0 then try to come back, walitakiwa wawaweke wananchi sawa, walie faulu ways before before CCM hawajacheza foul, ilikua inajulikana, may be, just may be momentum ingekua imebuild up na kuwascare kidogo...
  6. R.Lewis

    Chadema hakujiandaa kabisa

    Kuhusu katiba na mchakato wake naamini kila kiumbe alielewa serikali ya CCM na kikwete ingefanya, na wamefanya walivyo tarajiwa, kinacho sikiticha ni CDM wanavyoonekana wakitapatapa, hawakua na plan kabisa mara watoke inje ya bunge, mara waombe kuongea kuongea na mtu aliye plan na kuandaa...
  7. R.Lewis

    Elections 2010 Salim A. Salim Apangishwa foleni!!

    Yaani huu ni upupu unaoniudhi kuhusu Fikira za baathi ya wazembe fulani Bongo kwani kupanga mstari ni physical issue au ni wadhifa wa mtu alinao au aliwahi kua nao, na amini kuna Wazee kibao ambao physically wanahali mbaya zaidi ya huyu ex waziri na wamejipanga mstari, huu ni utaratibu tu sio...
  8. R.Lewis

    Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

    Kuna habari Membe aliongea na Maaskofu huko Mwanza kawaambia kuna Faida ya kuingia kwenye OIC tutafaidika na misaada, akufafanua masharti ya jumuia hiyo. My take is this: Ungekua so upset kwa kiongozi wa nchi kusearch jumuia kwa misaada, na unajua kuna sababu ya misaada, na sio private raia...
  9. R.Lewis

    Elections 2010 Chonde chonde Slaa/Chadema, unganeni na wanamageuzi wenzako

    Ruzuku inagawiwa kufuatana na idadi ya Wabunge nafikiri na asilimia ya kura ulizopata kwenye uchaguzi wa raisi uliopita kama sikosei
  10. R.Lewis

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    julius open your mind kidogo kujua kitu sio lazima uwe unahusika ama auhusiki lete hoja kama unakubaliana au la.
  11. R.Lewis

    Kamati Teule ya Richmond ilitumia sh 400 milioni?!!

    majority ya hao makamanda wa vita ya ufisadi hawako kwenye unyoofu!!! Kinachouma posho zenyewe ni shilingi ngapi jamani? si warudishe tu na kusema hawakujua yaishe... waweza kuta ni sh 90,000 kwa siku zinawachafua suala si kiwango cha pesi , ni mbinu ya mafisadi wanayokuja nayo kugeti...
Back
Top Bottom