Search results

  1. D

    Msaada wadau, je hii power bank reliable !?

    Wakuu mwenye kufahamu kuhusu hii power bank anijuze vizuri kabla sijainunua. Nakaribisha pia wenye kujua kuhusu power banks aina tofauti tufahamishane. Ahsante !!!!!
  2. D

    Gari inaungua muda huu maeneo ya Makumbusho

    Wakuu nimepita eneo la Makumbusho muda huu na kukuta kuna gari inawaka moto pale jirani na ile restaurant iliyoko pembezoni mwa barabara. Kwa kuwa nilikuwa ndani ya gari sikuweza kupata taarifa kamili juu ya gari lile nini kilisababisha liungue na kama kuna majeruhi wowote. Mwenye taarifa zaidi...
  3. D

    Msaada: laptop imezima ghafla tangu jana na imegoma kuwaka mpaka muda huu.

    Wakuu kwanza natanguliza salamu kwa member wote humu jukwaani. Kama inavyojieleza kwenye kichwa cha habari ni kuwa laptop yangu aina ya dell inspiron 1000 ilizimika ghafla jana usiku muda mfupi baada ya kuiwasha na imegoma kuwaka mpaka muda huu. Pia hata nikichomeka adapter kwenye pc haioneshi...
  4. D

    Natoa Consultancy Kuhusu Biashara Ya Ufugaji Wa Samaki

    Wakuu ninafurahi sana kuona mada mbalimbali zimekuwa zikianzishwa hapa jukwaani kuhusu ufugaji wa samaki, hii inaonesha kuwa watu wengi wameanza kuelewa ufugaji huu na wamekuwa interested kwenye kufuga samaki. Mada nyingi zilizopo humu zimekuwa zikitoa mwanga kuhusu kufuga samaki, lakini nyingi...
Back
Top Bottom