Search results

  1. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    Dear Nd. Amandla, There is no question of.....NA kama..... hapo juu. Kutumia maneno hayo (Na kama) inaonesha kuwa you are not sure and this sends a cold shivering down our spines. Serikali yetu tayari inafanya vitendo kama hivyo and therefore we should condemn it right away! Kuieleza serikali...
  2. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    Well Bujibuji, this is a great place of great thinkers to be. You can never find such a Forum in the whole of Tanzania. I have been a member to all of them and I can openly and proudly say that JF is the best of all!!!!! You are at the right place. Please, try to learn from the enlightened ones.
  3. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    Thinkpad, Are yuou referring to yourself or to our country? Please, clarify! Kama ni wewe hakuna anaejali, kwani labda huko kijijini upo-employed by a Jew! Kama ni nchi yetu, then u are not abreast with the news of our country, kwani Tanzania tayari ipo pamoja na Iran and very soon itawauzia hio...
  4. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    Dear Nd. Thinkpad, Kwa kweli unatukata maini yetu sisi wenye akili timamu! Hivyo unadhania kuwa unaweza kutumia nyuklia kwa taratibu fulani? Hivyo Wamarekani walivyoitumia kule Japan ilikuwa sio kinyume na taratibu? You real make me sick ! Hakuna taratibu zozote zile ambazo zinaruhusu nchi...
  5. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    Dear Nd. Lunyungu, Mimi ndugu yenu Lampart nilieleta malalamiko haya ni kweli nakubali kuwa ni Mjew, lakini mimi ni Bani Israel na mtume wangu alikuwa Nabii Mussa. Mimi sio zionist kama hawa tunaowapendelea na ambao leo wanaimiliki Dunia nzima!!! Of course, JF ipo kwenye Dunia and who ever...
  6. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    That is fair enough!. We don't at all need to support the fanatics (opposition members) in Teheran, as someone suggested. Neither do we need to support Israel or Tanzania which has killed more than 70 souls of her own people!
  7. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    Dear Nd. Kubwa Jinga, You might be a great man and I believe you are, but as your name suggests you are still an ignorant person. Please, take it from your nickname and not from me. Some of us cannot stomach the sanctimonious sermonizing some members of this Forum who portend to represent the...
  8. L

    Zitto arejea Nchini

    Nd. Kibunango, Tuhuma hana, isipokuwa wengine tungelipenda kujua tu kama ile barua bado anatembea tembea nayo mfukoni au kaiacha huko huko Ujerumani!
  9. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    Nd. Ngida1, Hio ni kweli, lakini kile kikofia robo cheusi sio lazima awe nacho pia? Au hata akiwa na jembe/shoka begani inatosha!!!
  10. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    Mr/Ms/Mrs Nemesis, You can sit there and claim all what you want. But, in this day and age who in our country defines what? We aim to build a society based on tolerance and NOT on religion, party line or colour, as u are proposing!!!
  11. L

    Should Tanzania condemn the killings of opposition supporters in Iran?

    Mzee Mwanakijiji, Kwanini unazunguka sana??? Sio ungeliandika tu kuwa...... Hivyo, wapo watu hapa ambao wakiona Watanzania wanauawa watachekelea lakini wakiona Wairan wanauawa watalia lakini kama ni Watanzania kwa Watanzania............wanataka iwe kimya............
  12. L

    Should Tanzania condemn the killings of opposition supporters in Iran?

    Nd. Bongolander, Mbona unatutisha???? Mauaji ni mauaji tu. Hakuna mauaji ya msingi na yale yasiokuwa ya msingi! Inamaana haya ya ZNZ ni ya msingi na haya ya Iran yalikuwa sio ya msingi? Jamani tuacheni kuwasaidia majahudi! These are very cunning people. Tunawasaidia bila ya hata sisi wenyewe...
  13. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    At last someone made my day!!! Wale wenye akili zao timamu wanachambua nini ni udaku na nini ni ukweli uliowazi ambao hauwezi ukatupwa kwenye Jukwaa la Uzushi na Uwongo!!!
  14. L

    JF being used by Jews to condemn Iran?

    JF BEING USED BY JEWS TO CONDEMN IRAN!!! Tanzania has nothing to do with Iran’s internal affairs Our cooperation is based on mutual respect Let’s not interfere in Iran’s internal affairs if we cannot interfere in ZNZ’s Some well-intentioned Premium members of...
  15. L

    Kama Wewe Ni Mzalendo, Usifungue Hapa: Utahuzunika - Haki Elimu!

    Naomba yule rafiki yangu Ngida1 asije akaona hii, maanake anaweza kupata heart attack na baadae nikamkosa rafiki yangu mpenzi. Nikimkosa yeye nitakuwa sina mtu mwengine wa kumtegemea hapa JF. MODS mnaweza kuiondoa hii kabla rafiki yangu hajapata heart attack????
  16. L

    Mwanamume Malaya - Je ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Ndugu Shingo, Inamaana unamuona huyu mwana-JF wetu ni malaya kwasababu kakubali kuolewa na malaya? I am sure husemi hivyo!!! Labda sijakufahamu, kwani kiswahili chenu cha watu wa pwani kwasisi kutoka Bara ni kigumu sana!!!
  17. L

    Unataka Kutajirika?

    Furaha bila ya utajiri wa aina yoyote ile haiwezekani kabisa!!! Else, utakuwa unajidanganya kuwa eti umo kwenye furaha!!
  18. L

    Karibuni nyumbani

    I say, hata nami nitafika nionje hio ntori!!!
  19. L

    Mwanamume Malaya - Je ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Nd. Mtu B, I say, hii ni advice au matusi???
  20. L

    Unataka Kutajirika?

    It goes without saying! >ili iweje? .......ili ukauze utajiri wote ukawagawie maskini!!! I don't think it makes sense at all. Sio wewe utarejea kule kule kwenye umaskini sasa tena utakuwa umefanya nini????
Back
Top Bottom