Search results

  1. J

    Wosi wangu kwa wana igunga

    sera za vyama sio muhimu kwa sasa, la muhimu ni kupeleka wawakilishi wengi bungeni wenye upeo na uwezo wa kuihoji serikali juu ya utekele wa sera zenye kuwaletea watanzania maendeleo. Tatizo la serikali yetu ni kwamba kila inaposhindwa kutoa majibu ya kueleweka huwa inawaita wabunge wa chama...
  2. J

    Kula ban ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaa

    wewe huelewi maana ya great thinkers? nakushauri usitumie maneno yanayoacha maswali. kwa mfano K maana yake nini? kwa hilo tu mimi napendekeza ule BAN Mpaka hapo utakapojifunza adabu. hiki sio kijiwe cha wavuta bangi.
  3. J

    Wastaafu kuendelea na kazi kwa mkataba

    Hodi jamvini Kwangu mimi hili jambo linanikera sana. hasa kwa wastaafu wa serikali na mashirika ya umma. wengi wanaopata mikataba hii ni wale wenye vyeo vikubwa. kwa hiyo wanazuia ajira mpya kwani ili kulinda haki yao ya kuendelea na mikataba hii mibovu. wana jamvi naomba hivi, mtu akishastaafu...
  4. J

    Elimu ya jabali la kiswahili shaaban robert hii hapa

    wameandika makala nyingi tu za kueleweka, zinatumika dunia nzima, ili umaarufu wao upande inabidi wafe kwanza.
  5. J

    National Housing Corporation (NHC) Kujenga Housing Complex ya Wabunge Chimwaga Dodoma

    hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kuhushu soko, kwani vitakavyouzwa huko supermarket zao vitatokana na wakulima wetu wa bongo, mfano mchele bora unatoka lumuma, kyela na bahi. Nyama itatokana na ng'ombe wetu sisi wagogo wa hapahapa, wao watatusaidia kufunga vizuri ili vinunulike na watu wa kada za...
  6. J

    Roho yangu nimemkabidhi MUNGU - Nape

    kuna siku nilisikia akisema, namnukuu "kwa sekretary hii, sasa wapinzani watacheza ngoma yetu sio sisi tucheze ngoma yao, sisi ndio watawala bwana" lakini kwa sasa naona hao anaowaongoza wamegawanyika, kabla hawajapiga ngoma wenzao wanauza ule mdundo kwa wapinzani, wapinzani wanawapigia na wao...
  7. J

    Wabunge kutoka Zanzibar kwa nini wasipungue ili wawakilishe Zanzibar

    Kama hao CCM bado wanang'ang'ania muungano wa serikali mbili, napendekeza uwe hivi, zile wizara zisizokuwa za muungano zikutane mapema na kupitisha bajeti zao sambamba na baraza la wawakilishi huko Zanzibar, baada ya hapo baraza la wawakilishi la zanzibar na wabunge wa wabara wakutane kama bunge...
  8. J

    Jimbo la TARIME linaniuma!

    Mshinekizeni ajiuzulu, Mbona R.A amekubali kuachia ngazi pamoja na utajiri wote, Wananchi mkiamua atatoka tu! mfano wa Tunisia na Misri
  9. J

    Wanafunzi watanzania wanyimwa vyeti vyao-urusi

    Hao ni wale watoto wenye uhusiano wa karibu na watawala, waliokwenda huko kifisadi, Bongo kuna vyuo kibao vinavyotambulika kimataifa, kwa nini hawakusoma huko? Vinginevyo wangechukua private sponsership waachane na hivi vimikopo vilivyotengwa kwa ajili ya wasio na uwezo.
  10. J

    Which country in Africa has the most beautiful women?

    Huu utafiti ulifanyika wapi? waliojaji walitokea wapi? naoma kama vile ni mtazamo wa wanaume wachache wapenda ngono ndio walioiasisi. wanawake nao waulize mwanaume bora anatoka nchi gani, wewe uliebandika hii post unaweza usiwe hata kati ya milioni hamsini bora. koma kabisa kuwadhalilisha...
  11. J

    Ni biashara gani inalipa??

    hakuna biashara yenye hasara
  12. J

    Elections 2010 Hongera TBC 1 - Endeleeni hivyo hivyo

    Nimeangalia TV tatu usiku wa kuamkia leo, walionesha habari kidogo sana ya CUF huko kusini na TLP huko Arusha tena katika hali ya kuchanganya sana mtazamaji, lakini habari za rangi ya kijani zilitawala, kwani walianza na mgombea urais huko mbeya, Mgombea mwenza, Mke wa mbombea urais huko Dom...
Back
Top Bottom