Search results

  1. Jerome

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    amemshukuru kwa wizi uliotukuka
  2. Jerome

    ..naomba mnieleweshe engine za VVT-I

    V V T-I ni Variable Valve Timming,kwa engine ya cylinder 6 ina valve 24 yaani inlet 12 na exhaust valves 12.Katika inlet manifold kuna censor ambayo ni controlled na throtle au engine depression na wamelink na engine controlls.Iwapo gari inatembea katika speed chini ya 60kmh to 80kmh valve 12...
  3. Jerome

    Speed 120km/hr ya pikipiki na 120km/hr ya gari?

    ANGALIZO KWA WOTE;MANUFACTURE WA CHOMBO CHOCHOTE WANATUMIA STANDARD CALIBRATION UNIT INAPOFIKIA KWENYE SETTING YA SPEED YA CHOMBO.IKUMBUKWE UNIT NI ILE ILE NA SAWA KWA VYOMBO VYOTE REGARDLESS DIAMETER YA TYRE AU MASS YA CHOMBO.TUSI-CONFUSE IWAPO MTENGENEZAJI WA SUZUKI COUNTER YAKE YA KM 1/HR...
  4. Jerome

    Achaneni na mikorogo. Huu ndio uzuri wa ngozi nyeusi!

    khaa?! Bila shaka anaogea lami na kujifuta na kiwi
  5. Jerome

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    wewe ugawafisi ndiyo unatafutwa tena siyo mirembe unatakiwa ukatibiwe kwa vichaa wa wa India,wewe ni mchanga unadandia hoja hujui historia chimbuko wala taratibu hizo tende za bure na ahadi za kupelekwa afghan stan unadandia hoja tunajua mnanufaika ktk vurugu ili mpore watu kwa posho mnazopewa...
  6. Jerome

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    huu ni upimbi,hivi niambieni shule gani ya kiislamu;jumuia Tanga,Kinondoni muslim na nyinginezo kuna ambayo imejengwa kanisa ndani yake?wanafunzi wakristo hawasomi humo?mbona wao hawadai kujengewa kanisa au kwa vile dini yao siyo dini ya fujo?angalieni shule ya ndanda imejengwa katika eneo la...
  7. Jerome

    Mchikichini mwenye data tufahamishane

    acheni upimbi,hawa magamba wanatufanya wote mazumbukuku? hao NSSF ni tool yao ya propaganda kwani daraja la kigamboni wameshajenga? Kila wakati w uchaguzi wanasema ujenzi unaanza mpaka leo tunavuka na panton na naamini mpaka J K ataondoka atamwachia mtaji huo atakeyegombea mwingine.Mkuu...
  8. Jerome

    Asilia

    halafu ukimalisa mkangafu na fingamba na masebele we niangusage tu sambi sote sako ndauli beee!
  9. Jerome

    Wamakua na mila za bibi haruri kupita juu ya wakwe

    Hii mila ni nzuri sana,ninavyoambiwa na hawa wenyenyewe wanaolala chini ni akina shangazi ,mawifi na wengine mama mkwe nadra sana kuwa ktk msafara anakuwa high table na hawa watu wana mila za heshima sana hawezi kumkanyanyaga mama mkwe wake na lengo hapo ni kumwonyesha bibi harusi anakubaliwa na...
  10. Jerome

    Mnaopenda potabo!!

    mkuu hebu nipe contact yake nitete naye ikwezekana nionane naye physically kuna kitu exeptional hapo
  11. Jerome

    Mnaopenda potabo!!

    DUUH! kaazi kwelikweli! hapo hakuna kitu ni fremu tu ukifanya mchezo unabanwa kama klempu
  12. Jerome

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Braaaaaaaaaaaaaaaaaavo Halima! Verry intelegent Huyu dada ni kichwa halafu ni jasiri nilikuwa nampenda sana jinsi alivyokuwa akiwasilisha hata pale spika alipojaribu kumtisha hakuogopa,na this time wapo wengi wa ku-back up akina Lisu zito nk mbona bunge litawaka moto? Hata kama spika wakimweka...
  13. Jerome

    Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    MKUU,KWANGU MIMI NADHANI HAKUNA USHINDI MTAMU KAMA HUU WA lISU NA ULE WA sUGU KULE MBEYA MJINI, Lisu anogopewa sana na akina makamba kwa umahiri wake na ushupavu ktk hoja.Ni yeye kiasi kikubwa ndiye aliyezima kampeni za maji taka dhidi ya Dr.wa ukweli(Phd)baada ya kuwatahadharisha kumwaga maovu...
  14. Jerome

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    mkuu mbona kama huhitaji madoido na complecations ile hesabu ya mdau yaani 30,000000/= mpaka 45,000000/=mil zinztosha.cha msingi pata ramani yako ambayo ni compactible,plot tayari kisha tafuta mafundi wa kawaida(wazuri sana hata hayo maghorofa ya k,koo wanajenga wao.usitake complex kam...
  15. Jerome

    USA wanatisha!

    sasa kile cha kwetu kilichoangukia barabarani pale segera na kuua masikini mrubani wetu kinafanana na huo mtambo? Waacheni tu hawa watanue hatuwafikii hata kwa 0.001% wamebarikiwa hawa na Mungu
  16. Jerome

    Home sweet home -- bongo wera weraaaaaaaaaaaaa.

    F/L acha hizo utaua,unajua niko busy sijala toka asubuhi sasa hizo pure kidogo nivunje screen nizilambe
  17. Jerome

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    hilo teja hamjui alishafahamu kuwa hawatachukua hilo kombe? hebu ona kichapo kitakatifu walichopokea leo toka Germany,lakini hapaswi kupuuzwa tena wala msimchokoze huyo ni teja akiambiwa atoe sample ya kile alichosema hashindwi kuonyesha hata nusu ya hizo bidhaa njema kama alivyoziita bi-dada FL
  18. Jerome

    Sophia Simba: Siasa na tendo la ndoa

    Mkuu hii kali,haya magazeti sasa hivi yatakuwa kama ya ulaya,hawaogopi kulipa mijihela? Hapa miye NO COMENTS
  19. Jerome

    Marylin Mashiba

    mwe?! kwni huyu siyo yule mwenye imalaseko? anfanya ikulu siku hizi? au nimekosea jina?lakini huwezijua wengi wanaofanya ikulu hatuwajui wengine wanafanya biashara zao kumbe ni part time state house staff,vinginevyo kama ndiye wa imalaseko si ajabu J K na hata mama Tunu kuhudhuria ni mtu maarufu...
  20. Jerome

    Hodi

    karibu Mkulumba jamvini na hongera kwa kutambua na kuingia ktk uwanja huu wa vichwa vikali karibu sana
Back
Top Bottom