Search results

  1. A

    Bongo maisha raaaaha

    Jamani mambo ya starehe yaishie huko huko.Mmemuhaibisha sana mzee wa watu,jiangalieni msije mkapata laana za ujanani oohooo!
  2. A

    Yondo Sister enzi zake...

    Ray C si chochote kitandani ikimkalia kilo sabini juu anaishiwa maajabu but Yondo kwa muonekano tu ni mwanamke wa kazi hata kitandani wau mnasemaje wadau wangu?!
  3. A

    Blueprint 3

    wakuu mtu anaye mponda jigger huyo hajui HIP-HOP,kwakifupi jigger ni among few kings of HIP-HOP,ni hayo tu wakuu over!
  4. A

    Nitakupenda daima

    kaka mapenzi sio kuongea sana.Mapenzi ni vitendo,kilichotakiwa ni mtu unaye mpend a ndiyo aonyeshe appriciation kwako na siyo wewe mwenyewe ujipe maujiko hooo nitakuwa baba bpora,shat up,How sure are u?!who told you that!?unaweza sema unatoa promise kwa demu wako but according to African culture...
  5. A

    Mawaziri Aisha Kigoda na Seif Khatibu watangaza penzi lao Bungeni

    Honger Dr.Aisha umeonyesha kuwa wewe ni mwanamke uliyekamilika coz hata uwe na pesa au wazifa mkubwa serikalini lakini mapenzi ni muhimu kwa kila mtu thats what Dr Aisha has shown,I like that!
  6. A

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Kaka acha kutetea ujinga jinsi ulivyo kuja kumake conclusion unaonesha nikiasi gani ulivyo mwanasiasa.Nakufananisha na mwanasiasa kwa sababu kuu mbili.wewe sio mtaalamu wa mambo ya kijamii alafu unantaka kujifanya unajuamambo ya kijamii.Pili wewe hujafanya uchunguzi wa ndani juu ya vikuku na...
  7. A

    Chakula cha usiku: Wahanga sasa ni wanawake!

    kaka hii topic ya "chakula cha usiku" ni hot,u have tried a lot to be blief kwenye kuitoa.Keep it up men!
  8. A

    Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

    kaka unachotakiwa kufanya ni kumwambia ukweli huyo dada kuwa kelele zake za mahaba zinakupa uchizi coz kukaa kimya kutakufanya ukose raha mwaka mzima na inaweza kupelekea kufanya ngono usizo tarajia.Kama njia hii unaona noma kanunue redio kubwa yenye sound nzito ili ukisikia anaanza kelele wewe...
  9. A

    Knock! Knock!

    hello,my name is Enock urthur,am third year student of UDSM takng a First degree of Civil and Water resources engineering.I 'm very happy to be member of this BIG FAMILY of JamiiForums.I lv u all.Let burn the BUSH to make our envinvironment clean!
Back
Top Bottom