Search results

  1. hyusuph

    Ni Mikoa au Wilaya gani za Tanzania ambazo zinatia huruma kwa kuwa nyuma kimaeendeleo?

    Acha uongo tanga na wilaya zake hakuna tatizo kubwa la barabara km sehem nyingine labda huijui vizuri
  2. hyusuph

    Usafi wa sukari tunayoitumia

    Hii kitu ipo sana tu,binafsi nimeshazoea kabisa hiyo hali ya uwepo wa takataka kwenye sukari hasa hizi tunazonunua madukani.Cha muhimu kumuomba Mungu atuepushe na maradhi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. hyusuph

    Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

    Wanasema kuna habari njema au nzuri itakufikia
  4. hyusuph

    Waislam wanapinga RIBA lakini wana Account NMB, CRDB, EXIM Bank etc

    Mbona nyie mmeamrishwa na kanisa kuoa mke mmoja ilhali wengi bado wanaoa zaid ya mmoja na mnaongoza kwa michepuko
  5. hyusuph

    Hizi meseji zinatoka polisi kweli?

    Kwangu zinakula kila siku msg 5 yani mpaka kero
  6. hyusuph

    Azam huu nao ni ubaguzi

    Watu mnapenda kulalamika sana jaman yan hakuna jema!kila alifanyalo mja hakuna jema!ptuuuuu
  7. hyusuph

    Kumbe AZAM hakuna UDINI wowote

    Kutesa kwa zamu,kumbe mnaumia eeh
  8. hyusuph

    Kumbe AZAM hakuna UDINI wowote

    Safi sana hili ndio jibu sahihi kabisa liwafikie wote wafia diniya kikristo
  9. hyusuph

    Kumbe AZAM hakuna UDINI wowote

    Kwaiyo km huangalii unataka tukusaidie nn hapa
  10. hyusuph

    Chuo cha masheikh

    Mashekh huwa hawachukui pesa za kitapeli ndio maana,wao hupenda chumo la halali sio km kanisan watu wanatapeliwa eti kufufuliwa maiti mara wagonjwa kupona kumbe ni mitego ya kutapeli wapumbav km nyie msioelew mbele wala nyuma!
  11. hyusuph

    Chuo cha masheikh

    We nawe si umeshatajiwa kilipo au unataka ligi isiyokuwa na mpango apo.umeambiwa nenda Tanga kipooo
  12. hyusuph

    Tubadilishane nchi(wazungu waje nchi za Afrika na WaAfrika twende nchi za Ulaya)

    Aiseee sipati picha yaani mi nitawahi kule Beverly hills na kwa mazingira yale nahisi nitanenepa hata bila ya kulaa
  13. hyusuph

    Kama unataka kupendwa na watu fanya kazi hizi

    Ila uk Ila ukiwa padri unapendwa sio,mfia dini kwel ww
  14. hyusuph

    Mkaa VS Gesi

    Labda ww mwenyewe tu haujui kutumia jiko lako la gas kupikia wali.binafsi ni mwaka wa 7 huu natumia gas pekee kwa vyakula vyangu vyote ktk level ninayoihitaji na haijawahi kuniangusha.
  15. hyusuph

    Mkaa VS Gesi

    Hata maharage inapika vizuri tu sema labda hujui unapikaje,mchawi wa matumizi bora ya gas ni sufuria iitwayo pressure cooker,nusu saa tu maharage unakula!
  16. hyusuph

    Barua yangu ya Posa..!!

    Hongera mkuu kwa hatua uliyofikia
  17. hyusuph

    Tambua ya kwamba mke wako anaamini utakufa kabla yake!!!

    Na huu ndio udugu wa kweli kabisa,yatubidi wanandugu tupendane hivi.
  18. hyusuph

    Naweza kufanya biashara gani na mtaji wa elfu 50 nikazalisha faida?

    Tena hili ni wazo zuri sana,au km ni me atafute boxer kadhaa na singlend itampa faida na kukuza pesa yake
  19. hyusuph

    INTERSTATE TOURS inahitaji watu wawili tu.

    Mkuu Mkuu nimekufata pm,njoo tuyajenge
Back
Top Bottom