Search results

  1. TUTUO

    Mkimaliza Kuwaondoa Wamachinga muanze kampeni ya Kuondoa Nyumba za Zamani zilizopo Pembezoni Mwa barabara

    Uzeeni hyo nyumba ya urithi 300milioni nendeni zenu Kgmbn huko mkajenge nyumba za maana na hela za mtaji zinabaki
  2. TUTUO

    Mkimaliza Kuwaondoa Wamachinga muanze kampeni ya Kuondoa Nyumba za Zamani zilizopo Pembezoni Mwa barabara

    Naunga mkonyo hoja, Shaurimoyo Manzese, Tandale Buguruni Vingunguti, Ubungo maji kwa kuanzia wavunje vibanda umiza vyote nyumba za hovyo mabati yamejaa kutu tupu kama huamini shuka na ndege uone Dar ilivyo mbaya
  3. TUTUO

    Unafahamu 21% ya waajiriwa wanatakiwa kuwa Wazanzibar?

    Chukua Kvant kubwa kwa Mangi nakuja lipa
  4. TUTUO

    Suala la UKIMWI Njombe: Inahitajika hali ya dharura

    Wanadanganya upo sana ili wapate hela za donor au sijakuelewa?
  5. TUTUO

    Suala la UKIMWI Njombe: Inahitajika hali ya dharura

    Hv ile dawa ya Ngoma iliyogunduliwa nadhani na waisrael imeishia wapi?
  6. TUTUO

    Suala la UKIMWI Njombe: Inahitajika hali ya dharura

    Kwahyo huko Njombe ndio wanajua kunyanduana sana
  7. TUTUO

    KKKT Mbezi Beach msilazimishe waumini kuabudu kwa Kiingereza

    Makanisa wajenge mabeberu wewe ukatae misa za kizungu hebu acha ungese
  8. TUTUO

    Serikali kuanza uchunguzi dhidi ya QNET baada ya wengi kujiripoti kuwa wametapeliwa na wengine kuacha kazi kabisa

    Hao Aim global wanatofauti gani? wote ndio wale wale hatudanganyiki tena hao wameona wagonjwa wa kisukari ndio dili
  9. TUTUO

    KILEMBA: Dhuluma/ uporaji/ unyang'anyi kwa wafanyabiashara wapangaji katika majengo ya Kariakoo

    Watu wanahela aisee hyo 20m si mtaji mkubwa huo? nyie mnatoa kilemba bado kodi sijui ndio TSH ngapi, mtaji nadhani ndio million 300
  10. TUTUO

    Waziri Lukuvi tembelea maeneo ya Dar es Salaam, kuna viwanja vingi havijaendelezwa

    Wewe mwenye hati kwanini huendelezi mpaka wanakuja kuuziana ,hujaweka chochote hata kupanda miti umeshindwa
  11. TUTUO

    Waziri Lukuvi tembelea maeneo ya Dar es Salaam, kuna viwanja vingi havijaendelezwa

    Njoo usafishe walau majirani zako tukujue mnachelewesha sana maendeleo ukijenga mtaa unachangamka sasa wewe unabanana Manzese huko badala ya kuja kujenga plot yako
  12. TUTUO

    Dar es Salaam inapanuka sana. We fikiria mwenyewe jambo hili

    Ni juzi kati tu hapa 2012 nilinunua nusu heka Chanika zingiziwa kwa 1.2M nenda sasa kaulize bei yake ilivyochangamka, watu wanaenda kununua Mvuti huko kuelekea Dondwe
  13. TUTUO

    Dar es Salaam inapanuka sana. We fikiria mwenyewe jambo hili

    Fala wewe njoo huku uhamie mwenzio jirani yako hapa zingiziwa umeme ushafika, lami mpaka town
  14. TUTUO

    Uhamisho wa Dodoma ulivyonufaisha watumishi

    Hela ziliisha miezi miwili tu sasa wanapambana na kodi za nyumba Dom na kama hukujenga Dar utalipa kodi sehemu mbili na matumizi utume Dar na wewe ubakize zako za kujikimu, nasema hv sababu watu wengi hawajahamisha familia bado ziko Dar
  15. TUTUO

    Kwanini watu wengi waliofanikiwa kimaisha unakuta wameoa wanawake wa kawaida sana?

    Kama uko Malaika ya hapo near Shabiby round about na umekwenda na gari ukitoka kagua antenna ya gari kama ipo, thanks me later
Back
Top Bottom