Search results

  1. Mahanjam

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kama kuna mgao si mtuambie tujue na ratiba mtupatie, hizi surprise zenu sio poa kabisa.
  2. Mahanjam

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ongezeni outlets kwasababu hio taarifa haifiki kwa muda kwahiyo mgao unatushtukiza na maeneo mengi hakuna info kwa mfano mimi ni msikilizaji mzuri tuu wa radio but kwenye radio au hata TV kumekuwa kimya safari hii Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mahanjam

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Too general mbona huwa mnasema ni maeneo yepi na kwa tarehe na muda gani. Ili tuweze kutumia muda wetu kwa tija sio kukaa kusubiri kama nabahatisha, hata ikibidi kutupa taarifa on a daily basis tupewe. Hii ya jumla jumla haitusaidii. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mahanjam

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco watoe ratiba ya mgao ili wajasiriamali tuweze kujipanga. Wanatufanya tunapoteza muda bure. Walikuwa wanatupa updates kupitia njia tofauti ghafla wamekuwa kimya na umeme unakatika. Wapi customer care dept??? Kupata taarifa ni haki yetu ya msingi kama wateja wao. Sent using Jamii Forums...
  5. Mahanjam

    Hivi Hotel Verde Zanzibar inauza pombe kweli?

    Kwahiyo kilevi ndo ina determine level ya hotel?? Wateja wasio hitajia pombe ni wengi mno na ndo maana akawekeza kaona fursa kubwa iliyopo. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mahanjam

    Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

    Technology huwa haisahau. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mahanjam

    Kifo cha wafanyakazi Azam na Imani za Kishirikina (Utoaji Kafara)

    Kila nafsi itaonja mauti. Mwenye uwezo wa kuhuisha na kufisha ni Allah subhana huwa ta'ala pekee yake. Mh. Lisu alipigwa risasi nyingi lakini bado yupo mbona na hilo msiseme ni ushirikina??
  8. Mahanjam

    Singida: Waandishi wa Azam wapata ajali wakielekea Chato

    Innalilahi wa innailaiyhi raji'oon!
  9. Mahanjam

    Nimelazimishwa kushiriki tendo bila kinga

    Subiri time will tell.
  10. Mahanjam

    Kama Kamishna wa Polisi Diwani Athuman ataondolewa TAKUKURU, tutaanza kuhoji Vetting ya Rais Magufuli

    Ushawahi sikia kitu kinaitwa economic intelligence na economic hitmen?
  11. Mahanjam

    Twiga kusafirishwa kwenda Chato ni uamuzi sahihi? Ndio...

    Hizi siasa za maji taka mnazipenda kweli. Kama Kuna sheria ilivunjwa wakati hao wanyama wakisafirishwa mbona uliyemtaja hajafikishwa kwenye sheria?? Mmezoea kutuona wajinga kila siku!
  12. Mahanjam

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Kila mmoja na nafasi yake. Kuwa na msimamo. Tambua kuwa mama ndie mlango wako wa kuingia peponi, ila kuwa muadilifu kama anamuonea mke simama kidete na umtetee mke na hali kadhalika kama mke ni mkosa mwambie. Na uwe mvumilivu na jitahidi kutumia lugha nzuri na adabu ya hali ya juu mwisho wa siku...
  13. Mahanjam

    Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

    Kama ulivyosema dalili, ili tuwe na hakika tufanye subira. Waswahili wanasema umdhaniaee ndiye kumbe.... Time will tell!
  14. Mahanjam

    Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

    Kweli we mbishi. Hata ibilisi ana wafuasi. Hakuna aliye mmbaya asilimia Mia na pia hakuna aliye mzuri asilimia Mia. Hata huyu anamapungufu yake tusubiri dk 90 zake ziishe ndo tulinganishe, Sasa hivi bado mapema.
  15. Mahanjam

    Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka

    Huu ni kwa upande wa watumishi, je kwa upande wa serikali je?
  16. Mahanjam

    Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka

    Nakubaliana na wewe ubabe mwingi na visasi. Unakuta mtu ana investment kubwa lkn hawalioni hilo wanamtreat kama anafanya biashara kwenye briefcase. Wanadai kodi ambazo ni kubwa mno halafu hamna justification.
  17. Mahanjam

    Arusha: Mkurugenzi wa Kampuni ya OBC ashindwa kufika Mahakamani akihojiwa na TAKUKURU

    Yaani umewashuhudia wakifanya mauaji au nimekuelewa vibaya? Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Mahanjam

    Arusha: Mkurugenzi wa Kampuni ya OBC ashindwa kufika Mahakamani akihojiwa na TAKUKURU

    OK. But kutoa shuhuda juu ya jambo kwa maneno ya kusikia ni hatari sana. Ni vizuri kufanya utafiti wako mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom