Search results

  1. Lucky One

    Umepataje namba Yangu?

    Habarini wadau wa JF Basi pasipo kupoteza muda. Wadau wenzangu hususani wanaume huwa mnatokaje mkiulizwa swali hili Umepataje namba yangu? NB: Hilo swali umeulizwa na mdada mrembo asiyekufahamu baada ya kumpigia simu. Namba umepewa na mshikaji wako Msaada wadau nimekwama huku
  2. Lucky One

    Mke mwema: Tunamsubiria au tunamtafuta

    Habarini za asubuhi wanajamvi, Natumaini mmeamka vyema katika siku hii. Kama kichwa cha habari kilivyo ni kwamba nimekuwa nipo katika mtanziko kuelewa kuwa mke mwema mtu humsubiria tu bila kuhangaika au inambidi mtu atafute mwenyewe. 1. Mke mwema huja kwa kumsubiria tu bila kuhangaika...
  3. Lucky One

    Mapenzi na biashara: Wauzaji wa duka hili hawasikii au?

    Habari wanajamvi, Huku kitaani kuna duka flani hivi la vyakula ambalo limekuwa gumzo. Ni kwamba vijana wote wanaoletwa kuuza hapa mwanzoni huwa waaminifu, wabahili na kumfurahisha sana bosi wao lakini baadaye hubadilika na kuwa watu wa starehe na wembe kwa wasichana hapa kitaani...
  4. Lucky One

    Kila mtu ana malaika wake amlindaye

    Habari zenu wanajamvi wa humu "Kila mtu ana malaika wake amlindaye" ni maneno kauli ambayo nimeisikia katika nyumba za ibada na ndani ya jamii na tangu nimesikia kauli hii mara nyingi nimekuwa nikiwaza kuhusu jambo hili kwamba kama ni kweli kwanini hatuwezi kuongea na hawa walinzi, kuwaona au...
  5. Lucky One

    Ushauri unahitajika kwa mtu ambaye hajiamini na aibu

    Habari zenu wanajamvi. Leo nimekuja kwenu naomba mnisaidie kumpa ushauri rafiki yangu, ni mtu mwenye aibu kupita kiasi yaani hajiamini kabisa mara zote anajiweka kuwa mnyonge na kuonekana mtu wa chini sana. Mtaani hapa ni vigumu sana kuongea na watu,kazini kadhalika na hasa katika mahusiano...
  6. Lucky One

    Hii mistari kwenye wowowo

    habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote???? uwanja wenu jamani
  7. Lucky One

    Ushauri juu ya fakati za kuchagua (eca)

    Habari zenu wanajamvi,natumai sherehe ya iddi pili imeenda vizuri.Nakuja kwenu leo nikitaka ushauri kama kichwa cha habari kinavyosomeka , nilisoma ECA na kwa sasa nipo katika zoezi la kuchagua fakati binafsi navutiwa sana na B.COM in accounts naomba sana ushauri wenu katika hili.kuhusu...
  8. Lucky One

    Application ya mkopo form 6 2014

    Habari zenu wanajf mimi ni miongoni wa wahitimu kidato cha sita 2014 ,katika kuperuzi kwangu mtandaoni kwenye tovuti ya bodi ya mkopo nimekuta tangazo kwamba mwisho wa kufanya application ya mkopo ni tarehe 30 mwezi juni.sasa mimi bado sijaelewa uta apply vipi wakati matokeo bado ukifeli je...
  9. Lucky One

    Ni nimesikia au nimenusa

    Habari zenu wanajf leo ninataka kueleshwa vizuri,unajua ndani ya jamii inapotokea harufu mbaya utashuhudia watu wakisema "aah! nimesikia harufu mbaya" lakini kiuhalisia kabisa mtu hawezi kutumia sikio kutambua harufu mbaya bali hio ni kazi ya pua sasa je vipi ni sahihi kusema " nimesikia...
  10. Lucky One

    kamari vs pombe

    Habari zenu wanajf,katika pita zangu leo nimekutana na ubishani kati ya pombe na kamari.Hivi kati ya pombe na kamari kipi ni kigumu kuacha kwa aliyekuwa addicted na vitu hivyo.uwanja wenu.......
  11. Lucky One

    Looking for a Kenyan girlfriend

    Habari zenu wanajf wa Kenya, I am looking for a Kenyan girlfriend (serious sitanii) Mmh awe na miaka kati ya 18 hadi 25 i care less about religion, colour or height my email : badbuda75@gmail.com
  12. Lucky One

    Hizi meseji nazo

    Leo nimecheka sana wanajf,hz meseji nyngine balaa tupu,rfki yangu kanitumia meseji iliyo kwenye mfumo wa swali eti Kati ya samaki na chupi kipi huvuliwa mara nyingi? uwanja wenu sasa.......
Back
Top Bottom