Search results

  1. L

    Disadvantages of being handsome

    So true! The most gals i have dated are ugly and some malaya, jana tu rafiki yangu wa kike wa karibu kaniambia a'm so dissapointed kisa nimeongea na binti ambaye ni rafiki yake
  2. L

    Watanzania watatu kizimbani Afrika Kusini: Wahusishwa kutaka kumuua Jenerali Nyamwasa

    Kwa jinsi unavyoandika ni wazi kiswahili ni shida kwako i.e Mubaya, kabira ra, kumufanya, etc; nadhani wewe si Manzania Btw, muhimu kuangalia point inayozungumzwa na si makabila binafsi nafahamu PK anachukiwa na watu kutoka pande zote za makabila ya nchini mwake.
  3. L

    Are spies made or born?

    Both; some are born while some are trained. Uhalisia ni kuwa kazi hii unaweza kuajiri hata mzee ili mradi awe anatambulika na awe amekubali kufanya shughuli hiyo. Shughuli inayohitajika ndio inayodetermine uajiri nani/new recruit
  4. L

    DPP Feleshi ahamishwa nafasi, Nani kumrithi? - Rais Kikwete ateua majaji wa mahakama kuu ya Tanzania

    Kwenye legal fraternity, the highest position ni kuwa Jaji wa Mahakama Kuu!., Hivyo hiyo ni promotion, ila kimamlaka, DDP ana mamlaka makubwa sio tuu kumshinda jaji yoyote, bali hata kumpita rais wa nchi!. Thanks. Pasco JAJI MKUU NDIO HIGHEST POSITION KAMA UNAMAANISHA MAHAKAMA OTHERWISE...
  5. L

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Tatizo la nguvu za kiume linasababishwa ma mambo mengi kadiri binadamu wanavyotofautiana, baadhi husababishwa na matatizo ya muda mfupi kimawazo na wengine kimwili, na kwa wengine ni matatizo ya kuzaliwa nayo na jinsi miili yao ilivyoumbika. Binafsi mimi sio mlaji wa vyakula sana wala sifanyi...
  6. L

    Nimesimamishwa kazi Serikalini, naomba msaada wa kisheria

    Naona umeridhika na nusu mshahara wakati unatakiwa ulipwe wote! Kuhusu muda wa kusimamishwa kazi, ukisoma sheria zote utagundua kuna mkanganyiko hivyo hakuna muda maalumu wa uchunguzi inategemea na nature ya kosa. Kuhusu hatua za kumchukulia mwajiri nadhani so long as utakuwa unapata full...
  7. L

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Alidhani yuko studio…smh Hongera afande
  8. L

    Jinsi ya kuhesabu m-cycle kwa couple

    Mbegu za kiume zinakua hazijakomaa hivyo huwezi kurutubisha yai(no fertilization)
  9. L

    No negotiations with FDLR, says US envoy

    I think the US is looking forward to more instability in the region, maybe they are targeting the period when the heads of Tanzania,DRC and Rwanda will be changing their madaraka. The US should let talks lead and not violence; afterall the US has failed in many countries with similar problems.
  10. L

    Vitu hivi humfurahisha mwanamke

    Wengine malimbukeni tu, hata ukiongeza ya ziada kwenye hiyo list utakimbiwa tu akiamua., things that attract women change kama ilivyo kwa technologia
  11. L

    Hivi kwa nini unaogopa kuoa au kuolewa?Unajua nini maana ya Ndoa?Biblia inasemaje?

    Topic nzuri kwa wale ambao hawajaoa.As for me najuta kuoa, kila siku namuomba Mungu anisaidie nasubiri majibu. Kwa ufupi mke wangu alibadilika zaidi baada ya ndoa mpaka sasa ni miaka miwili ila naona ni karne.Tabia mbaya kwangu ni pamoja na mke kuwa na kiburi , kuwasiliana na x wake muda mwingi...
  12. L

    Sheria inasemaje juu ya hili

    Hicho kitendo kinaangukia kwenye sheria nyingi tofauti. Unaweza kutumia penal code kwa kuwa amevunja/kuingia bila taarifa au ruhusa. Hii itakua jinai. Unaweza pia kutumia madai(civil) kwa trespass kwenye nyumba yako na mali
  13. L

    Taarifa kwa Mawakili Wasomi wote

    Binafsi sioni tatizo hapo coz kama hupendi kuwaita wasomi haulazimishwi..with ur degree or whatever profession u have u can choose how u want to be identified..ever questioned the difference between a teacher and a proffessor ()
  14. L

    Mtaji 2ml Biashara gani unaweza fanya uka break through kwa haraka??

    Kupata jibu inategemea uko wapi na hiyo pesa umeipataje. Je,ni mkopo umepewa? upo mjini au kijijini? je,shughuli kuu maeneo hayo ni zipi? je,idadi ya watu katika eneo lako ni kiasi gani? Nashindwa kusema ufanye shughuli/ biashara gani kwa kuwa hujajieleza vizuri.biashara kwa...
  15. L

    Advera Ndambagoye ananitia wasiwasi kama ni Mtanzania ndani ya ITV sasa

    Mleta mada una ubaguzi,kwani ukiuliza swali bila kumhusisha na kabila au taifa lisilo lake swali lako halitajibiwa? Na je akiwa mnyarwanda mwenye uraia wa Tanzania swali lako litabaki kama lilivyo? natamani ubagulhwe siku mojakwa rangi,dini,kabila au taifa ndo ujue jinsi...
  16. L

    Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

    Hujui unalosema. Kwani uliambiwa kuwa mwanasheria ndo kutoa hukumu au kwa akili yako unadhani wanasheria wote wangeshinda kesi? Unajua jukumu la mwanasheria katika mahakama?
  17. L

    Ex-Rwandan spy boss (Col Patrick Karegeya) 'assassinated' in Johannesburg (South Africa)

    Investigate before you sentence PK, yaleyale ya kila ovu la Police mnawaita Policcm bila hata ushahidi wa involvement ya CCM
  18. L

    Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

    Binafsi nimesoma fourth cohort Law school, walioongoza kwa kufaulu walitoka vyuo tofauti na UDSM, ACHA UONGO, Weka takwimu! UDSM ilikua enzi zile, angalia hata maofisini uone utendaji wao, UDSM wawe tayari kukubali kuwa wasomi wao wa zamani ndo walioifikisha nchi hapa
  19. L

    Niko Njia Panda.... Ushauri wenu ni muhimu

    pole kwa mkasa huu dada.Kwa bahati nzurh umeligundua mapema kuwa hafai.Huyu mwanaume ana nia ovu ambayo hataki uigundue..inawezekana anataka mali zako kupitia ndoa.Please kumbuka umetumia miaka mingi kujenga maisha...angalia usiyaharibu ndani ya dakika...kama hufahamu kwake wala ndugu zake...
Back
Top Bottom