Search results

  1. N

    Majina ya Kamati ya Uandishi ya Katiba iliyoteuliwa kuandika Katiba itakayokabidhiwa kwa Sitta leo

    Umeandika UKWELI MTUPU!!!!!! Ila kwa jinsi navyolijua hili Jukwaa, jiandae kutukanwa na kupuuzwa na wachangiaji wengi. Hata hivyo message sent and delivered!!!!!!! Tanzania Kwanza!!!!!!!
  2. N

    Rasimu ya Samweli Sitta yalisambaratishia mbali taifa la Zanzibar

    Watu kama wewe ni "ebola" kwa Taifa hili. Hayo yote uliyoandika ni UONGO wa hali ya Juu na umelenga kupotosha kwa nia mbaya... Utaumbuka kesho tutakapoweka Rasimu hadharani. Shame ON YOU!!!!!!!!!!!
  3. N

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    uongo mwingine bana!!
  4. N

    Prof. Safari ajitosa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti CHADEMA taifa

    Kibo10 Huyo anafaa. Ni mtu makini na anaelewana na....
  5. N

    Hali ndani ya CCM ni mbaya, Roho ya Makonda inatafutwa usiku na mchana

    I think it's time this country took action against people peddling lies on social sites. It's unbelievable nonsense...
  6. N

    Humphrey Polepole: Shivji anajichanganya, mawazo yake kuhusu muungano utata mtupu

    Tunajua ni kwanini mnamshambulia ISSA SHIVJI. Hoja ya uwepo wa dola mbili TZ ni sahihi tu na sio kila utaratibu wa shirikisho katika mifano uliyoitoa lazima tuige hapa Tanzania neno kwa neno, nukta kwa nukta. Tunaweza kuja na mfumo wetu ambao ni UNIQUE kama ilivyo sasa na ukweli ni kwamba tuna...
  7. N

    Kwa Wanaompenda JK: Hapa unaweza kupoteza hata Swaumu !!

    That's a lie, a top grade lie!!!
  8. N

    Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

    Katika UKANDA wa Afrika Mashariki na Kati, the best ni TISS. Ukitaka kujua ukweli tafuta watu wa nchi hizo hasa viongozi wakuu wa nchi then waulize. Watakwambia ni TISS na sababu wanazijua wao. Nabii hakubaliki nyumbani kwake.... tafakari. Kwa Afrika nzima, ubora wa taasisi za usalama umekuwa...
  9. N

    Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

    Hapo kwenye mstari... nadhani hujui usemalo au wajifanya unajua usilolijua.... ni afadhali ukae kimya tu.
  10. N

    Are spies made or born?

    Duuuuu!!!!
  11. N

    Uteuzi wa Jaji Kiongozi Kufanyika Mapema Mwezi Ujao

    Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania FAKIHI JUNDU [Miaka 65] anatarajiwa kustaafu mapema mwezi July 2014. JUNDU amedumu katika nafasi hiyo tangu mwaka 2009. Habari nilizozipata kutoka kwa jamaa fulani ni kwamba Rais atamteua Mwanamama MWANAISHA ATHUMANI KWARIKO [Jaji Mfawidhi - Songea] kuwa...
  12. N

    Ni sahihi kwa Brigedia Jenerali kumlinda Rais?

    You should tread carefully... You can't insult our President online and get away with it.
  13. N

    Ni sahihi kwa Brigedia Jenerali kumlinda Rais?

    Shame on You!!!
  14. N

    Ni sahihi kwa Brigedia Jenerali kumlinda Rais?

    Tanzania ya leo kwakweli sijui tumeingiliwa na watu gani. Nakuomba soma KATIBA ili uweze kutambua Rais wa Nchi yetu ni nani kimamlaka na ana hadhi gani then utakuwa umepata jibu la swali lako.
  15. N

    Mbowe: Ni kweli UKAWA tulifikiria kujitoa bunge la katiba!

    Ajitoe tu yeye na wabunge wake wa chadema. Hata wakijitoa, bado kwa upande wa bara ile 2/3 inayohitajika itapatikana bila ya wabunge wote wa UKAWA kwa upande wa bara tu. Hivyo nawashauri wajitoe haraka sana, wasitusumbue hapa dodoma.
  16. N

    Wenyeviti wa Kamati za Bunge: Kilango, Sendeka, Wassira washinda

    Habari ndio hiyoooooooo!!!!!
  17. N

    Samweli Sitta aanza kazi kwa kukiuka kanuni za bunge la katiba

    I am sorry, I don't have time for you!!
  18. N

    Samweli Sitta aanza kazi kwa kukiuka kanuni za bunge la katiba

    Hapo kwenye bold ---Hatuko hapa kubishana nani anajua sheria zaidi kati yako na mimi kwakua hata wewe hujui mimi ni nani na cv yangu na hakuna haja ya kujua hayo maana hayatakusaidia lolote. Aidha, sihitaji kujua una elimu gani ya sheria ila ninachoangalia ni hoja yako. Nikuambie tu kwa ufupi...
  19. N

    Samweli Sitta aanza kazi kwa kukiuka kanuni za bunge la katiba

    Amekiuka kanuni gani? Umezisoma hizo kanuni wewe au unakuja tu hapa kubwabwaja ili upotoshe watu kwa malengo yako unayoyajua!!! Maelezo aliyotoa SITTA ni ya msingi na Kanuni ya 85 inaruhusu hoja kwa ajili ya kutengua kanuni yoyote kwa madhumuni fulani. Hoja ya kutenguliwa Kanuni ya 7 ilitolewa...
Back
Top Bottom