Search results

  1. Peter jaluo

    Raila Odinga amjibu Rais Uhuru Kenyatta kuhusu mualiko wa 'chai'.

    Raila mwambia rais wakenya bwana uhuru kenyata .kuwa yeye sio mtu wakuitwa chai ikulu.raila amesema kuwa rais asubiri kimbunga kinakuja kikubwa. Sana kitamzua rais mpaka baharini Raila rejects Uhuru's ‘tea', Ruto fights back Former Prime Minister Raila Odinga with Suna East Mp...
  2. Peter jaluo

    Yanayojiri Bungeni leo Tarehe 26 May 2014

    leo ni bunge la 1o mkutano wa 15 kikao cha 18. Waziri wa uchukuzi aliwasilisha hotuba ya Bajeti ya makadilio na matumizi katika wizara ya uchukuzi ya mwaka wa fedha 2014-2015 na majadiliano yanaendelea. katika maswali na majibu, Jamani huyu waziri AGrey mwanri .huyu waziri anawajibu wabunge...
  3. Peter jaluo

    Mbunge wa Ukonga kaniacha hoi

    Jamani Mbunge wa Ukonga leo kaniacha hoi, eti anataka treni ya kwenda Ukonga wakati barabara za huko hazipitiki.
  4. Peter jaluo

    maswali ofisi ya waziri mkuu

    Huyu waziri ofisi ya waziri mkuu.aAgrey mbona huyu mtu anajibu maswali kwa ukali sana.km anamgombeza muuliza swali pili km kalazimishwa kujibu hayo maswali ya wabunge
  5. Peter jaluo

    maskari 4 wenye silaha

    Maskari wanne Wa stakishari wameingia na silaha hapa bar ya kilimani.nakuanza kunywa pombe bunduki zikiwa zimeweka pembeni hii je mangu anarusu wawe hivi picha nimeshindwa kuchukua
  6. Peter jaluo

    s4 s3 y300

    Samsung s4 720000 s4 520000 hauweii p6 570000 y300 170000) km upo dar tutakufikia popote ulipo cm mpya kabisa 0715757041
  7. Peter jaluo

    Wana JF wote

    Naomba kuwauliza.kwa cku unaweza kuperuzi humu Mara ngapi kwa cku Mimi mda wote aipiti. Hata dk 5 bila kuchungulia mwisho saa5 ucku wewe je?
  8. Peter jaluo

    Slll samsung

    Bei yangu 560000 no 0715757041
  9. Peter jaluo

    Huaweii y300

    Ninazo nyingi zakutosha bei 175000 km uko dar tutakuleta mpka ulipo no 0715757041. / 0685093721
  10. Peter jaluo

    Posho za watoto waliopamba sherehe ya Muungano

    Wale watoto waliopambasherehe za muungano pesa zao zimetafunwa uongozi wa shule ya msingi Umoja Temeke. Wazazi wameandamana kudai posho za watoto wao kila mtoto alfu 50,000/= Serikali makini nafikiri itawasaidia kama walivyokuwa wanafurahi siku ile ya sherehe ya muungano kwa jinsi...
  11. Peter jaluo

    WARIOBA NA Dk 45

    Hi imekaaje mbona Hawa ITV wamekata mawasiliano ghafla. Wakati tunasumbiria mzee aje amwange Kweli.hii itakuwa mkono wa ccm kunyima watanzania kusikia Kweli toka kwa mzee huyu au nikwangu tu
  12. Peter jaluo

    nyuma ya kikwete k

    Km ulikua makini je mliona kilichokua kinaendelea nyuma ya rais .kati ya mlinzi wake na .msichana moja
  13. Peter jaluo

    Huawei ascend y300 na p6

    Ninazo hizo cm nimpya kabisa km upo Dar nakuletea mpka ulipo bei no y300 -190000 na p6 -570000 no 0715757041
  14. Peter jaluo

    Hii nialali kweli kwa wtz

    Jamani hii kinawezekana Kweli.ccm kututungia Wa tzania katiba maana ccm wako million -6 tu wa waliomchagua rais je Hawa wengine .million 39 watakubaliana na matakwa ya wachache Hawa?
  15. Peter jaluo

    Asha Baraka na michango ya mzee ngurumo

    Hivi huyu .mama sasa ndio anaonekana.anauchungu na familia ya mzee ngurumo.nakusimama kwenye viombo vya hbri .kuwa anawasiliana.wabunge kila mbunge achangie 20000 na fulana wamechapisha zimeandikwa ngurumo.je huyu mama ndio sasa hivi anaonyesha uchungu.ktk familia ya marehemu kuliko kipindi...
  16. Peter jaluo

    Wakuu jf msaada

    Jamani mda ninaouona kwangu cjui nakwenu inasoma mwenye kuelewa zaidi msaada kwenye tuta
  17. Peter jaluo

    Gari aina ya vitz

    Naitaji gari aina hiyo mwenye nacho ofa yangu 3 million ni pm tuongee biashara
  18. Peter jaluo

    Ukimya wa IGP Erenest Mangu

    Mkuu wa jeshi la polisi mbona yuko kimya sana kwenye viombo vya habari haonekani kwenye matamasha aonekani nini kimemsibu mangu tofauti na mwema Mara kwa Mara alikua anaonekana akitoa maelekezo kwa polis I kuhusu usalama Wa raia namalizao au mangu kasafiri na mkulu?
  19. Peter jaluo

    Gari Stk 3490

    Jamani haya magari ya serakali ckuhizi zinakusanya kwenye vituo leo nimeona sted gari hiyo inakusanya 2000 posta ndio serakali yetu imefilisika .mpaka ifikie hali hii
  20. Peter jaluo

    Leo siku ya tatu hakuna Umeme kuanzia kwa Aziz Ali mpaka Mbagala yote

    Hivi Hawa jamaa .kweli wako kibiashara Leo cku yatatu kuanzia kwa aziz hali mpka mbagala yote kijichi charambe.nk mbona ilishirika bado wamelala sana je ingekuwa maeneo ya msasani masaki Hii kitu kingekua hivi kweli.
Back
Top Bottom