Huu ni uongo uliopitiliza, jumapili nimekuwepo kanisani, yaani hata kitu ukawa hakijatamkwa, wewe mleta thread, una hila tu na pengine unataka kuoanisha mambo kwa akili zako mwenyewe, kama yamekushinda kalale sio kuleta habari za kizushi. JF is the home of great thinkers, wewe naona umevamia
Amerudia kauli hii ya kutotaka hata uwaziri wa kuteuliwa mara kadhaa, hana mpango huo, kazi yake ni kuhakikisha kuna usawa katika uendeshaji wa siasa ya demokrasia nchini, sio upande mmoja kumkandamiza mwingine na kusema hiyo ndiyo siasa safi. KAKOBE KUGOMBEA NAFASI YOYOTE YA KISIASA FUTA KABISA...
-------- hata ukimtwanga kwenye kinu upumbavu wake hauwezi kumtoka" " sio mimi ni maandiko yako kwenye biblia, nakupa kazi utafute, wapo wengi walitangulia kusema kama wewe wkaonywa hawakusikia, walipoishia, hakujulikani, na wewe unaelekea huko huko. Huyu ni Mtumishi MUNGU
Fanya utafiti yakinifu kwanza usiwe mvivu wa kutafuta taarifa, magari ya kifahari yako wapi??Kakobe kama Kakobe hana gari alilolinunua, gari lililopo sasa analolitumia hivi sasa ni gari moja la V8 ambalo washirika wenyewe walilinunua na kumpa jumapili katika Ibada, hakuna siri ya watu wawili...
mawazo yako na akili yako finyu ya kupembua mambo ndiyo inayokufanya useme hivyo, ungelijua umuhimu wa Bunge la katiba kwa kila kundi ungelifahamu lakini kwa sababu, hupendi kuishughulisha akili yako ndio maana unazumza hovyo.
Mwanafunzi hampiti mwalimu, ikiwa maneno yake YESU, aliye mwalimu yamepuuzwa, watu ni wezi, wazinzi, waongo, wachawi n.k kama walivyo miongoni mwenu wachangiaji sembuse mwanafunzi wake (Kakobe). Kupinga au kutokupinga hakubadili hata nukta katika taarifa iliyoletwa, lilikuwa suala la kupokea tu...
Kwa asiyejua uwakilishi maana yake nini kwenye suala muhimu namna hii ataendelea kuandika upuuzi bila kujali mantiki ya kinachozungumzwa kwenye waraka huu
Sipati picha majibu ya mh. Mwigulu Nchemba, JK anajitahidi kumkumbatia huyu jamaa ila atamwangusha kuliko mategemeo yake, kapoteza yadilifu wake hata kabla ya kuwa naibu waziri
Mbadala wa CCM ni CHADEMA, na CHADEMA haijawa na mbadala bado na ili awepo inabidi kusota kwanza nje, Kitila anza kuchakalika, ila siku zote katika harakati zako fahamu chama cha kufukuzana ni kizuri kuliko chama cha kulindana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.