Search results

  1. kinumi

    Kwa umri wake, nadhani huyu ndio mrithi wa Dkt. Magufuli 2025

    CCM kama wanataka kijana makini basi wamuandae MTAKA jamaa yupo makini na ana busara sana
  2. kinumi

    Uongozi wa mkoa wa Mwanza kufungua akaunti maalumu kwaajili ya kukusanya rambi rambi. Tujiandae kutoa kwa upendo

    Jamaa wana roho ngumu kweli kweli tutoe pesa nyingine wazitafune hapana ujinga kwenda sio kurudi
  3. kinumi

    Fly over ya Tazara kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu wa Agosti 2018

    Kama wanadhani hii kitu itapunguza folen tazara wamechemka ndio wameiongeza subiri mtajionea wenyewe
  4. kinumi

    Hivi kwanini Wanachadema anapoguswa Mbowe Mnageuka mbogo.?

    Sasa hivi bora mbowe kuliko jiwe nani wa kumpiga jiwe ndani ya chama chenu jiwe ndio kila kitu
  5. kinumi

    Ushauri: Engine ya gari inatetemeka na kuunguruma sana

    Kwenye matumizi ya mafuta tazama injection yake Wenda imejaaa uchafu inashindwa kufunga na kufungua kuruhusu ewa inayoitajika kwenda kwenye engine pia nozel zake umezisafisha kipindi gani oil unatumia original au za kuungaunga vyote vinaweza kusababisha gari kura mafuta kama ccm wanavyokura...
  6. kinumi

    Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi.

    Mtazame Mtoto wa Mwenye nchi kitu kilivyotokeza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
  7. kinumi

    Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio

    fika sehemu moja tandika panaitwa Maputo hapo ni hatari mtaa mzima wezi kuanzia mjumbe wa Nyumba kumi mpaka mtoto wa miaka kumi
  8. kinumi

    Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio

    Buguruni kwa kimbengenye [emoji119]
  9. kinumi

    Kwa hili la makubaliano na Barrick, Serikali litoleeni ufafanuzi

    sio Noah tena hesabu zilishabadirika Suki nyingi sasa hivi Pigia hesabu za Balimi 4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. kinumi

    Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Jitaidi kutumia kichwa kufikiri japo kidogo itapendeza
  11. kinumi

    Viongozi watano wabovu Tanzania 2017

    Namba 1 hii namba hii unaweze kujikuta shimoni na pilau la sikukuu likakupita
  12. kinumi

    Wanaume mnataka mgundue nini

    Nyama tofauti kuna kitimoto kuku mbuzi na ngo'mbe kila moja na utamu wake
  13. kinumi

    Nimemeza mseto asubuhi kufika saa tisa mchana nimejisahau nikanywa bia mbili

    Pumzika kwa Amani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] sisi ngoja tuendelee na safari ya uncle magu
  14. kinumi

    Leseni ya gari iliyokwisha muda wake, inarejeshwa vipi

    Anatakiwa kwanza afike trafki ndio wataipasisha leseni yake kisha ndio anakwenda Tra hakuna tatizo lolote
Back
Top Bottom