Search results

  1. S

    Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    Umechagua fungi jema,wewe uwe mwaminifu na mtulivu katika Kristo naye atakutunza salama, hatakuacha daima.
  2. S

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Mkuu samahani kama nimekukwaza, lakini kutoa tu support kujenga nyumba ya Bwana kunamzuiaje mtu kutubu dhambi zake (kama anazo)? Tafadhali hata wasiomjua Mungu wanaweza kutumiwa kujenga ufalme, karibu na wewe mkuu wangu tusaidiane kuujenga ufalme.
  3. S

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Mh Mwigulu heshima kwako mkuu, Mimi ni mwananchi na mpiga kura wako. Ninafarijika sana kukuona hapa jukwaani, hakika tulio wengi tuna imani na wewe. Mh naomba nitumie fursa hii kukukumbusha,mimi ni mshirika wa kanisa la FPCT Kiomboi karibu na idara ya maji mtaa wa lulumba kwa mchj Lazaro...
  4. S

    Hizi ndio fursa 150 ambazo unaweza kuingiza kipato

    Huwa zinatumia betri ya kuchaji.
  5. S

    Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Naunga mkono hoja,hivi inaingia akilini mtu unaenda ku renew passport ambayo umekaa nayo miaka nenda rudi,una national id bado unawekewa mizengwe mara oh we will mtanzania,mara uje na invitation letter na visababu vingi tu ambavyo havina msingi wowote. Ingekuwa vizuri utoaji wa passport...
  6. S

    Muhimbili kuna utaalamu, dawa na vifaa tiba vya kutosha? Mbona majeruhi wengi wa moto wa lori la mafuta wanafariki?

    % ya burn kwa wengi ilikuwa zaidi ya 50 which is fatal. Lakini pia wengi wali inhale moto/smoke kwahiyo wanapata pulmonary complications which means chance ya kuishi ni kidogo sana.
  7. S

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Fatilia rafiki, mimi mke wangu (mwalimu) barua yake ya uhamisho imetoka wiki iliyopita.
  8. S

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Kwani hao ambao wameuzuia wao wanafaidikaje?
  9. S

    Nimkumbushe Prof Kitila akiwa anakula asisahau kufuta mdomo

    Kweli mkuu, inashangaza sana, hawa niwasomi tuliodhani wangelisaidia Taifa kwa kuwaeleza watawala ukweli, kumbe imekuwa tofauti. Elimu zao walizopata hazikuwasaidia kujikomboa kifikra.
  10. S

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Wewe mzee unajifanya mchambuzi huru, lakini kiukweli you're biased, kila unapotoa hoja lazima iwe na mwelekeo wa upande wako ingawa unajaribu kukwepa kana kwamba hauko affiliated na upande fulani, that's insincerity.
  11. S

    Makatibu Wakuu wa Wizara na majukwaa ya kisiasa

    Siasa chafu ni ile kuwazuia wengine wasifanye siasa wakati wewe unafanya siasa kwenye mikutano ya hadhara. Unasema wao (wapinzani) wanamchonganisha na kumfitinisha na wananchi waliomchagua, yeye mbona anawachonganisha hao wapinzani dhidi ya wananchi waliowachagua? Ama wewe unafikiri wao hakuna...
  12. S

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Duh! Kweli wewe ni lecturer, maswali yote uliyomwuliza ni ya msingi sana, sijui kama anaweza kuya attempt.
Back
Top Bottom