Search results

  1. Nambukwa

    Kenya's Nakumatt and Uchumi to exit Tanzania after minting loss

    Hehehehehehe...and u beleived the report.. Same country some people come, start business and wanakuwa matajiri . Now u know it is in ya mind dear. Conman hehehe dear we have Nigerians for that...!hamfiki hapo West Africans wameweka standard juu sana.
  2. Nambukwa

    Kenya's Nakumatt and Uchumi to exit Tanzania after minting loss

    Sie kama wakenya... tunanunua vya kwetu. Nataka nikukumbushe Shoprite waliondoka hata huyu mpya hajaja. Economy imeumizwa lakini sio sababu ya nakumat kufungwa, kabla hawajapalamia biashara ambayo Shoprite iliwashinda wangefanya utafiti... Tunanunua sana simu kutoka nje kwahiyo hoja ya...
  3. Nambukwa

    Kenya's Nakumatt and Uchumi to exit Tanzania after minting loss

    Sijui kwanin mnaamini timefurah biashara za wakenya kufungwa? Mo hoja ya kunogesha uzi ama? Business zimefail kwa sababu hawakujua cha kufanya kwenye uchumi huu. Hakuna maduka yanatembelewa kama hayo... lakin bidhaa ni ghali . Mnauza bidhaa za kenya kwa bei ghali na sie tunaweza kupata bidhaa...
  4. Nambukwa

    Vodacom wametusikiliza wateja wake kwa kusikia kilio chetu

    Uongo mkubwaaa... hadi saa hii hakuna hata bilion 100. Hivi nyie mabroker wa Orbit mnadhani kila mtu mjinga? kuna collecting agents kuna watu wanafanya kazi huko. Hivi mnafikir kujua total collection ni ngumu sana. Acheni ujinga... weka fact zijadiliwe ayakaye nunua afanye hivyo akiwa na...
  5. Nambukwa

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Asante sana kwa maelezo yako Nimekutana na tatizo la kupishana sana kutoa kwa matunda kwenye tikiti, yaani matunda kutokomaa kwa wakati mmoja. wakati mengine makubwa mengine ndo yanaanza kutoka na ukuaji wa taratibu wa matunda. je tatizo hili linasababishwa na nini? na jinsi gani linaweza...
  6. Nambukwa

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Habari Asante kwa maelezo yako mazuri sana, nina maswali kidogo kuhusu kilimo cha matikiti maji na hoho 1. Nimeona msisitizo mkubwa kwenye umwagiliaji wa matikiti swali ni je kwa wastani matikiti yanahitaji maji kiasi gani kwa siku ili yawe makubwa na kukomaa viziri? Maeneo ya Dar es salaam na...
  7. Nambukwa

    Watanzania mniombee - Ali kiba

    :):D:D:):):)
  8. Nambukwa

    From moja ya fakati fatal in the world nmedisco naombeni uxhaur

    Hehehehhehheh!! kwa nidhamu hiyo hata mtaa utakushinda. Huwezi kutoa mawazo yako kwa lugha sahihi ukihakikisha hadhira inakuelewa? utafanya nini sasa kwenye maisha wakati kitu kidogo kama hicho kimekushinda??
  9. Nambukwa

    The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

    Nataman niweke comment ya kiushadadi nashindwa. Sijajua kama huu ushuhuda umenifurahisha au nimehuzunishwa. Ila nina uhakika nimejifunza sana. Nimekuwa Jf miaka mingi kidogo na nimesoma na kuona mengi . Hii ni jamii chochote kinaweza tokea.
  10. Nambukwa

    Mahusiano na Wakwe/Mawifi Nini kifanyike?

    Mamiii, huwezi kufanana na mtu kimatendo. Na kwa watoto kamwe hautakuja kuwa bora zaidi ya mama yao. Fanya majukumu yako kwa upendo wasipokupenda watakuheshimu. Btw ungekuwa kama yule, huyo bwana asingakuangalia mara mbili, kwa lipi hasa.
  11. Nambukwa

    Waziri Magufuli apokea Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam bandarini Dar

    mie nataka kianze kazi tu! siasa zao hazinihusu:tonguez:
  12. Nambukwa

    Diamond Platnumz Kufikishwa Mahakamani

    Sasa ndo utaamini ,kuwa chuki haina macho. Sijui kama Ali kiba ananufaishwa na hili. Mi naona hili linamuongezea shigongo topics. Yaan tayari ana vichwa vya habari kama mia.
  13. Nambukwa

    Open letter to jane corbin of bbc

    Nimezidi kusikitika! Muda utaongea ngoja tusubiri.
  14. Nambukwa

    US Ebola patient Thomas Eric Duncan dies at Texas hospital

    hiyo sentensi ya mwisho n ukweli sana, ifike mahali sisi tuweke system ya kutibu magonjwa yetu. Kuliko kusema n jukumu la nchi fulani. Na liberia mie nailaumu serikali na wanchi, uganda wanapata Ebola wanaodhibiti kwa haraka kwann wao imewashinda? Kuna mambo mengi ya kujadili zaid ya ubaguzi wa...
  15. Nambukwa

    Picha: Maandamano ya amani ya BAWACHA yaliyovurugwa na Polisi

    Sad, wanawake wachache, hawana silaha wanataka kusema kilichopo moyon wanapigwa? Hivi lin nchi hii maandamano ya wapinzan yatakuwa halali? Wapinzan nikijumuisha wanaharakat ambao wanatendewa hivi hivi. Haturuhusiwi kutoa maoni yetu? Watawala wanalinda maslahi yao kwa gharama yoyote hata kama ni...
  16. Nambukwa

    Rwanda: Meet the Rwandans who cause Kagame the sleepless nights

    what did u call that? Nazidi kukuelewa.
Back
Top Bottom