Search results

  1. B

    Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

    BLESS YOU AND THANK YOU VERY MUCH!
  2. B

    Lowassa Kurudi "Nyumbani" - Mtazamo Chanya

    Akipewa hiyo naafasi lazima atakua na ilani ambayo ina agenda za chama. Kwa mfano anaweza akasema akichagulia atabadili katiba. Katika hili wapinzani wanaweza wakamuunga mkono na hakutakua na tatizo lolote. Ila akisema ataendeleza pale alipoishia JPM kuhusu kutoruhusu wasichana wenye ujauzito...
  3. B

    Lowassa Kurudi "Nyumbani" - Mtazamo Chanya

    Natumaini mko salama wanajamii. Napenda kujumuika na Watanzania wengine wengi ambao wameshaandika kuhusu siasa zetu kama taifa na jinsi zinavyokanganya hasa wale wenye taarifa finyu, wasio na uwezo mkubwa wa kuchambua yanayotokea katika medani za siasa na wachanga katika nyanja za siasa...
  4. B

    Nimegundua App Developers tunakosa ubunifu na kujua jamii inataka nini

    Nina watoto wangu mmoja 8yrs na mwingine 7yrs. Ningependa kupata mwalimu wa kuanza kuwafundisha kucode polepole. Niko Arusha. Ni wapi kuna shule ya namna hii? Asante.
  5. B

    Laki sita zataka kumkatisha uhai mweka hazina wa kikundi cha kukopeshana Njombe

    Polisi wetu....anaeleza hadithi yote halafu anasema upelelezi unaendelea.
  6. B

    Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Kwani waligombana lini? Sio kwamba kuna mmoja kavunja sheria za nchi?
  7. B

    Wauaji Kibiti watoa Ujumbe kuendeleza mapambano na wadhulumaji, wasema watu waendelee kutoa taarifa

    Mi nadhani pa kuanzia ni kuangalia mali zote walizokuanazo marehemu wote na kuchunguza zimepatikanaje. Hapo utaweza kuibua mnyororo wa hiyo inayotajwa kuwa dhulma. Wakitoka hapo waangalie mali za polisi wote wa eneo hilo na kuchunguza pia. Mfano magari, nyumba, viwanja, mashamba n.k.Rekodi...
  8. B

    Msaada; Rafiki wa mpenzi wangu kanitext kuwa anataka kugegedwa na mimi

    Usingoje yeye awe wa kwanza kuzionyesha hizo txt. Anza wewe.
  9. B

    Lema: Baba yake Ben Saanane aliniambia, ''Ben ni mwanangu, sio mbuzi yangu, nisaidieni kumtafuta''

    Wa kumwambia ni Rais, Waziri mkuu, Waziri wa mambo ya ndani na IGP.
  10. B

    Mapinduzi hayafanywi na Wasomi, haijawahi kutokea Dunia hii!

    Kwa maana hiyo Watanzania waliowekeza kwenye biashara ndogondogo sio wasomi na wale wasomi hawajawekeza kwenye biashara ndogondogo?
  11. B

    Hachomolewi tena...! Hesabu hizi zitamlinda Daudi

    Daah siamini. Yaani leo nimeulizwa swali na kijana wa sekondari kuwa..."ukiwa na mtoto wako unamuamsha asubuhi awahi shule na huku umebeba ada ukalipe ili asirudishwe nyumbani akakuuliza kwa nn unahangaika?.... kuna fursa kama za huyu bwana Bashite ni bora tukazilenga hizo kuliko kuhangaika"...
  12. B

    Tundu Lissu amjibu Magufuli juu ya yeye kugombea TLS

    "Akili yako..." kama sio kweli basi "akili yako yakudanganya.
  13. B

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Heroine ni derivative ya morphine...dawa ya kupunguza maumivu!!
  14. B

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Heroine ni derivative ya morphine...dawa ya kupunguza maumivu!!
  15. B

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Mo Moreover, kuna madawa mengi sana ya hospitalini ambayo yana kemikali zinazopatikana pia katika dawa za kulevya, mojawapo ni dawa maarufu za usingizi. Pili kama anatumia kwa nini wasingemchunguza taratibu wakamkusanyia ushahidi mzuri na kumkamata akinunua au akiwa nayo kabisa tayari kutumia...
  16. B

    Kutajwa kwa Mbowe: Kisa ni Billicanas inayomilikiwa na Mbowe Hotels

    Kuna mtu ambaye meli yake ilitumika kusafirisha pembe za ndovu pia. Ila hapa tatizo ni ushiriki wa moja kwa moja wa mhusika kwa kiwango kinachovunja sheria iliyopo. Katika ukumbi wa starehe ni rahisi zaidi kutambua na kuzuia mvuta sigara kuliko mtu aliye na kidonge na kukitumbukiza kwenye...
  17. B

    Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    Kuna kitu ambacho wengi hatuelewi, upinzani unapotuhumu ni "whistleblowing" ambapo wenye mamlaka za kiuchunguzi zinalaswa kuchukua hatua na kuchunguza na kujiridhisha na kuchukua hatua zinazostahiki. Ni ujinga kumwambia whistkeblower alete ushahidi kwani ushahidi hutafutwa na mwenye mamlaka...
  18. B

    Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    Kuna kitu ambacho wengi hatuelewi, upinzani unapotuhumu ni "whistleblowing" ambapo wenye mamlaka za kiuchunguzi zinapaswa kuchukua hatua na kuchunguza na kujiridhisha na kuchukua hatua zinazostahiki. Ni ujinga kumwambia whistkeblower alete ushahidi kwani ushahidi hutafutwa na mwenye mamlaka...
  19. B

    Mbowe: Rais Magufuli anakumbatia rushwa kuhusu tuhuma za wabunge CCM kuhongwa milioni 10

    Watendaji wana kazi ya kutenda ila anayeweka sera na kulaza misingi ya dira kuhusu jambo fulani ni Rais. Na katika jibu alilotoa Mh. Rais mbona hadi hili la kwako ni bora zaidi? Wewe unamjibia na unajibu vema kabisa. Na hoja hapa ni kuhusu utashi wa mheshimiwa Rais katika kuelezea misimamo yake...
Back
Top Bottom