Search results

  1. neggirl

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Tafadhali shauri, mifumo bora na rahisi ya ku manage stock ya hardware. Thanks
  2. neggirl

    Nafasi ya Kazi -Kuuza Duka (Location: Madale)

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 24/11/2023) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani. Njoo DM kwa maelezo zaidi na mawasiliano. MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE
  3. neggirl

    Nahitaji ushauri wa aina ya Biashara kwa mtaji wa milioni 20

    Pole sana kwa changamoto, kama hutojali unaweza kugusia kidogo changamoto inayokusukuma kubadili biashara? Sababu biashara ya hardware ni biashara yenye uwezekano mkubwa wa kukua na ni bidhaa muhimu au za lazima..
  4. neggirl

    Toyota Harrier Matako ya Nyani VS Subaru Forester TX

    Jack HD lete mrejesho boss.. Ulinunua ipi kati ya hizo..
  5. neggirl

    Toyota Harrier Matako ya Nyani VS Subaru Forester TX

    Niko kwenye utata kama wa mleta post, Subaru forester TX vs Harrier 240 g. Mi nachotamani ni matumizi madogo ya mafuta, uimara na service cost ziwe za kawaida (nimetumia Toyota sana)
  6. neggirl

    Kuna yoyote ashawahi kufanya "Psychometric Assessment Report " na akapata kazi?

    Pambafuuuuuu....Jf for life. I got the same email as well. And wanakupa na link ya kampuni za kufanyia..na rate ni madolar. Mbaya zaidi ukitafuta website ya Focus Africa yenyewe haieleweki.
  7. neggirl

    Nataka kufuga dreadlocks je kunakuwaga na mafuta ya kusokotea au hadi uende saloon?

    Mafuta yamejaa madukani, yana kopo jeupe na mfuniko wa kijani, picha ya rasta. Kwenda saloon ni muhimu, bila hivyo hazitavutia na una hatari ya kuwa rafu sn, dread zinahitaji matunzo. Mara ya kwanza hakikisha unaenda kwa mtengenezaji mzuri, sababu ukianza vibaya zitakusumbua sn. La mwisho...
  8. neggirl

    Mbao na Nguzo za plastiki zinauzwa

    karibu ofisini kwetu uone sample, tegeta ndevu jengo la GdB
  9. neggirl

    Mbao na Nguzo za plastiki zinauzwa

    nyingi ni futi 8, lakini tunatengeneza mbao nyingi kulingana na mahitaji ya mteja
  10. neggirl

    Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Tupiamo kapicha ka hiyo clinic clear, na anaetumia american dream pia..naona kama zipo tofuati tofauti sokoni
  11. neggirl

    Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Niambie wapi napata botwer og ba bei please. Supplier wangu kaniangusha kabisa...ya mwisho was not good, kama rays lol
  12. neggirl

    Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Serum zinasaidia nini? Na hazina madhara kwa ngozi? Elimu kidogo
  13. neggirl

    Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Botouer ilikuwa nzuri sana sana ..ila sasa hivi ziko fake nyingi sn au la mzalishaji kashusha kiwango. For me was good..natoka wamechakachua niko njia panda
  14. neggirl

    Mbao na Nguzo za plastiki zinauzwa

    Karibu sana
  15. neggirl

    Mbao na Nguzo za plastiki zinauzwa

    Mbao/ Nguzo za plastiki zinauzwa. Tupigie: 0757 100012. Tupo Tegeta - Ndevu Zinafaa sana kwa utengenezaji wa samani, ujenzi wa uzio, camps za watalii n.k. Haziliwi na wadudu, haziozi, zinadumu muda mrefu sana. Bei zinatofautiana kulingana na size; zinaanzia 18,000 na kuendelea.
  16. neggirl

    Yaliyojiri kikao cha familia ya bilionea Erasto Msuya na DC, vilio vyatawala

    Victoire...kesi si bado haijaisha, hivyo bado haijathibitishwa na mahakama kama Miriam anahusika. Kwa sasa ni tuhuma..
  17. neggirl

    Mbao zisizoliwa na wadudu, zisizooza kwa outdoor furniture, ujenzi wa camp site n.k

    Tunauza mbao na nguzo za plastiki (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) imara na madhubuti kwa ajili ya utengenezaji wa samani za bustanini, ujenzi wa campsite, uzio wa makazi na bustani n.k Mbao na Nguzo hizi za plastiki haziozi, haziliwi na wadudu, ni imara, zinadumu muda mrefu...
Back
Top Bottom