Search results

  1. M

    Sifa za watajwa tajwa mbio za Urais na sintofahamu kwa Watanzania

    Mwigulu anatosha sana kwa sifa hizo hapo juuu.
  2. M

    CUF wamewawaekea pingamizi CHADEMA Serikali za mitaa Geita

    katika hali ya kutoeleweka hapa mkoa wa Geita cuf imeweka mapingamizi ya kwa wagombea wa Chadema mtaa wa lwenge na Mission katika serikali za mitaa. My take. Hivi Ukawa imekufa!!
  3. M

    Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Sambaza ujumbe huu kwa watanzania vijana wengi zaidi. Kwamba sio kwamba tunawabagua wazee wetu hapana ila tunawashukuru sana kwa utumishi wao uliotukuka kwetu. Kwa unyenyekevu na mapenzi ya dhati kabisa tunaomba sasa tuwapokee kijiti nao wale matunda yetu sisi watoto wa damu zao. Ni aibu...
  4. M

    Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Unamchukia asiekufahamu!!!! mwigulu ni mzalendo wa kweli hapa Tanzania.
  5. M

    Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Nassari anamkubari sana Mwigulu Nchemba.
  6. M

    Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    ujumbe huu kwa watanzania vijana wengi zaidi. Kwamba sio kwamba tunawabagua wazee wetu hapana ila tunawashukuru sana kwa utumishi wao uliotukuka kwetu. Kwa unyenyekevu na mapenzi ya dhati kabisa tunaomba sasa tuwapokee kijiti nao wale matunda yetu sisi watoto wa damu zao. Ni aibu kuendelea...
  7. M

    Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    hongera Mwigulu kwa kutetea maslahi ya Taifa.
  8. M

    Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    mwigulu ni jembe la taifa na sio zwazwa kama wewe Aunt.
  9. M

    Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    sawa hata mwigulu haitaji wapumbavu kama wewe kwenye Mkutano wake.musoma oyeeeeeee kesho ndani ya Mkendo
  10. M

    Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    sawa Aunt but karibu sana kesho mkendo uwanjani na tunakukaribisha sana.
  11. M

    Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    Hapana Mwigulu ni Jembe la Taifa la Tanzania.
  12. M

    Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    Jana hii Mwigulu akichangia Bungeni. Mwigulu Nchemba: Ukububwa wa jambo tunaongelea maadili na maslahi ya watanzania, nitajikita eneo linalogusa wizara ya fedha. Nazipongeza taasisi zote zilizoshiriki kwenye ripoti hii(anazitaja). Tangu utaratibu huu uanze, chimbuko la ripoti hii ni...
  13. M

    Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    Mwigulu saaafiiii sana go go go go mwigulu
  14. M

    Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    Tunakusubiri kwa hamu sana hapa Mkendo Rais wetu 2015 wa Jamhiri ya muungano wa Tanzania. Tunaimani na Mwigulu Nchemba.
  15. M

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    katika hali isiyokuwa ya kawaida Mh.Zitto amempongeza sana Mwigulu Nchemba na kwenda mbali zaidi kwamba Mwigulu ni jasiri na ni kijana ambaye amechoka na huu upuuzi unaoendesha na serikali ya ccm.
  16. M

    Mwigulu, Mnyika, Zitto, Mdee na Silinde waweza leta sura mpya sakata la Escrow leo Bungeni

    Leo tunawachangiaji wa hoja na sio vihoja vya akina lusinde jana bungeni.
  17. M

    Mwigulu, Mnyika, Zitto, Mdee na Silinde waweza leta sura mpya sakata la Escrow leo Bungeni

    Orodha ya wachangiaji wa Asubuhi ya leo 1.MWIGULU NCHEMBA 2.ESTHER BULAYA 3.ZITO KABWE 4.J.MNYIKA 5.LEMA 6.LEMBELI 7.DR KINGWANGALA 8.J.MPINA 9.D.FILIKUNJOMBE 10.KANGI LUGOLA 11.SILINDE 12.MDEE 13.NASARI 15.MACHALI 16.MBATIA
  18. M

    MWIGULU alishindwa nini kuokoa bill.325 ?

    Sasa ni dhahiri kuwa Mwigulu Nchemba ndiye anayeenda kukiwakilisha chama chetu cha mapinduzi-CCM katika uchaguzi mkuu mwakani kwa nafasi ya Urais japo kuna tetesi kutoka kwa maadui kuhusu Escrow naomba kuweka sawa kuwa, Wizi wa Pesa za EPA BOT zilifanyika 2004 Mwigulu akiwa chuo pale UDSM...
  19. M

    MWIGULU alishindwa nini kuokoa bill.325 ?

    Katika Gazeti la Mwananchi la leo Jumapili 23.11.2014 Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba katika maoni yake kama kiongozi wa Nchi na mmoja wa Vijana shupavu Nchini wasio na chembe ya Kashfa yoyote katika Nchi hii kama historia yake inavyojieleza kuwa ni Mtoto wa 10 katika Familia ya...
Back
Top Bottom