Search results

  1. N

    Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

    Acha kuifananisha simba na vitu vya kijinga
  2. N

    Nimeachana na mpenzi wangu siku 14 kabla ya harusi baada ya kugundua ana mtoto

    Alifanya siri kwa kuwa alijua wewe ni mwanaume wa namna gani. Huwezi ukamchukia/kutokupenda mwanamke kisa kazaa nje,kwani we ndio unalea mtoto?Au huyo mtoto anakula gunia zima kwa siku? We ungempenda mke wako na kumpatia mtoto mahitaji,unless huna uwezo wa kuhudumia familia(na hilo ni tatizo...
  3. N

    The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Hongera kaka.Kikitoka tu ni tag. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Mpenzi wangu ananificha nywila yake ya JamiiForums

    Hahahahaa umenikumbusha kuna manzi nilikuwa naye kitambo alishawahi niambia anaweza kushare nami papuchi lakini sio password. Achana naye mwachie uhuru wake. Usimfikirie vibaya ipo siku atafunguka tu. Usimlazimishe kufanya unachitaka unaweza kumpoteza
  5. N

    Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

    Umenichekesha sana Mkuu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .
  6. N

    Behind the curtain: September 11

    Kwanini Usam bin Laden aliitoa Federal Reserve kwenye targeted area?the Bold
  7. N

    Upi mkoa wa ndoto za maisha yako?

    zamani wakati nakuwa nilipapenda sana arusha,baada ya kutembea Mbeya vijijini hasa umalila napapenda sana na ni pazuri kwa kuishi. kwanza altitude 2300m,pili kilimo cha matunda vinakubali sana na tatu watu wake ni wakarimu. Mimi nimetokea kanda maalumu.
  8. N

    Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

    Hongera sana kwa kazi nzuri Bold,Nami nimeamua kumfuatilia huyu nguli Blaine Gibson Mpaka mwisho wa Scandal
  9. N

    Nakaa Kimara mwisho, nafataje chips Segerea mwisho muda huu? Wanawake wenye mimba mnasumbua

    Kumbe wengine mnafanyaga makusudi enhee! wangu alikuwa anataka nikitoka kibaruani kabla sijaoga nivue shati nikae pembeni yake. alikuwa anapenda harufu ya jasho langu.
  10. N

    Njoo tukuchimbiye kisima

    Pamoja na tanki la lita ngapi?
  11. N

    Njoo tukuchimbiye kisima

    Mkoani Tarime unachimba sh. Ngapi? Nimeshafanya survey tayari maji yapo 105m una charge sh ngapi kwa mita?
  12. N

    SUMATRA na ratiba mpya ya mabasi

    Itume tena. Haipo clear
  13. N

    Hadithi: Mikataba ya kishetani

    Nunueni kitabu.
  14. N

    Hadithi: Mikataba ya kishetani

    Nimepata mzigo@nameless. Tu-support watunzi wetu.
  15. N

    RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

    Huyo Rukia lazima arukiwe!!!
Back
Top Bottom