Search results

  1. Mgagaa na Upwa

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    😁😁
  2. Mgagaa na Upwa

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1782866910138310830?t=XQGcCpGDrN1UKF68vc3xnQ&s=19 kunyata na wivu wao kama nawaona vile walivyonuna
  3. Mgagaa na Upwa

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Waunguja asilia sio wabaguzi hao wapemba ndio nuksi kwa ubaguzi!akiwa znz basi bara ataiita Tanganyika ila akifika ferry tu anaiita TZ kujipa umuhimu stahiki zote za bara zinamhusu!
  4. Mgagaa na Upwa

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Pale ilala 99% ya wauza spare ni wazenj,jamaa chao chao cha kwetu chao,halafu hata sioni wanachojiona wao ni special sana!!
  5. Mgagaa na Upwa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Kolos wana kila kitu na hawana mgogoro waache kuzuga 😀
  6. Mgagaa na Upwa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Huko makolo kuna shida gani?mo yupo,magori yupo, mnamtaka nani? mna wachezaji hadi mliowaiba airport 😀
  7. Mgagaa na Upwa

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Tmk ilijiwahi kipindi cha jiwe,kama utakumbuka siku anazindua magu bus terminal aliongelea ujenzi wa barabara za wilaya ya ubungo na majimbo yake ubungo na kibamba,baada ya pale akuonekana tena hadharani hadi umauti wake,hawa waliokuwepo sasa hivi hawana time na maendeleo ya wananchi
  8. Mgagaa na Upwa

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Bajeti iliyojenga barabara ya kwa msuguli -malamba mawili ndio hiyo hiyo ilikua ifike mpaka kwembe,king'azi,kifuru hadi kisarawe,ila jiwe alipokufa tu ile bajeti na yenyewe ikaenda mifukoni mwa wajanja,jiwe alikua mtu sana sema vzr avidumu
  9. Mgagaa na Upwa

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Hiyo ni kwembe,king'azi,malamba mawili,kibamba ni aibu maeneo hayo na serikali hauna hata habari,inafikiria kuongeza v8 za ma rc!!
  10. Mgagaa na Upwa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    🤣 halafu wakifanya vibaya wanamlaumu mangungu wakifanya vzr wanamsifia mo 😀
  11. Mgagaa na Upwa

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kunyan nyie wenyewe ampendani,ukabila umewaaribu akili,even ajali ya cdf wenu kuna kunyan wanaichukulia ni chuki zenu za kikabila
  12. Mgagaa na Upwa

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Soon ruto nae utasikia yuko ankara
  13. Mgagaa na Upwa

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hao dp world ni hatari mkuu,hamna meli itakaa masaa 24 port kwa sasa
  14. Mgagaa na Upwa

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Boston ya kibera labda,ww mpumbavu acha ujivuni bwege ww
  15. Mgagaa na Upwa

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Maskini na mshamba flan anaependa show off ila ndio kapuku wa kuonewa hadi huruma,angekua na life nzuri huyu mbwa humu ndani tungekoma
  16. Mgagaa na Upwa

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii si official acc ya putin,then acheni kushabikia vita isiyotuhusu,kwanza gharama za maisha kwa nchi zetu za kimaskini zitakua mbaya zaidi ya sasa
  17. Mgagaa na Upwa

    Heri ununue nyavu kuliko bodaboda

    Biashara yoyote ya kumpa mwafrika akuletee hesabu ni maumivu
Back
Top Bottom