Search results

  1. MkamaShapu

    INAUZWA Mashine ya pressure washer inauzwa!!!!...

    Mashine bado ipo wadau....
  2. MkamaShapu

    INAUZWA Mashine ya pressure washer inauzwa!!!!...

    Njoo ucheki kwanza Alafu tutaelewana tu Karibu sana
  3. MkamaShapu

    INAUZWA Mashine ya pressure washer inauzwa!!!!...

    Hapana si mimi ndugu
  4. MkamaShapu

    INAUZWA Mashine ya pressure washer inauzwa!!!!...

    Sio muda mrefu hata mwezi sijamaliza maana hata ile oil niliyonunulia sijabadilisha!!..
  5. MkamaShapu

    INAUZWA Mashine ya pressure washer inauzwa!!!!...

    Hizo valve huwaga elfu kumi kumi tu na zinakaa tatu
  6. MkamaShapu

    INAUZWA Mashine ya pressure washer inauzwa!!!!...

    Hii mashine ikiwa mpya bei yake ni 550,000
  7. MkamaShapu

    INAUZWA Mashine ya pressure washer inauzwa!!!!...

    Ni mashine aina ya Boss!! Ina hitirafu kwenye Pump( valve zimeungua na zinapatikana kariakoo) Nakupa na vifaa vyote Bei 350,000/= Mazungumzo yapo!! Sababu ya kuuza!! Kijiwe kimekufa na sina mpango wa kuanzisha kijiwe kingine!!!..., Napatikana Mburahati kigogo!! Mawasiliano 0653 722605
  8. MkamaShapu

    House4Sale Nyumba inauzwa kariakoo

    Haahahaaa!!!... Sawa ndugu
  9. MkamaShapu

    House4Sale Nyumba inauzwa maeneo ya luhanga.....

    Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa..... Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!! Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika mpaka mlangoni..... Bei ni mill 75 Maongezi yapo..... Namba ya simu....0717 767875
  10. MkamaShapu

    House4Sale Nyumba inauzwa kariakoo

    Kama inavyojieleza hapo juu.... Nyumba ipo maeneo ya kariakoo mtaa wa magila karibu Emelly hotel.... Inafaa kwa ujenzi wa hotel na fremu za maduka!!! Bei ni 1.1b mazungumzo yapo!!!! Namba ya simu....0717 76 78 75
  11. MkamaShapu

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kariakoo.....

    Maongezi yapo wakuuu.....!!!
  12. MkamaShapu

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kariakoo.....

    Mkuu Mbona maelezo yanaeleweka kabisa!!.... Kama una mengi ya kuhoji piga hiyo namba hapo juu....
  13. MkamaShapu

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kariakoo.....

    Kuna kiwanja maeneo ya kariakoo Mtaa Magila nyumba namba 13.....karibu na mtaa msimbazi..... Bei 1.2b maongezi yapo..... Karibuni sana.... Piga namba Hii kwa maelezo zaidi..... 0717767875.....
  14. MkamaShapu

    Paul Makonda na watoto "feki" akwama, aliyesema mtoto wa Lowassa faili lake laanikwa ni kada wa CCM

    Wewe mleta mada ndio uliyeleta hili andiko kisiasa Nje ya siasa wanasiasa ni binaadamu kama mimi na wewe na wanatenda kama yale unayotenda mimi na wewe........ Kwanini jambo baya akilitenda mwanasiasa kwa ubinaadamu inatumika siasa kumlinda sana mwanasiasa huyo......!!?
  15. MkamaShapu

    INAUZWA Mashine ya kuoshea magari inauzwa (pressure washer)

    Sawa ndugu Ngoja niirekebishe kwanza
  16. MkamaShapu

    INAUZWA Mashine ya kuoshea magari inauzwa (pressure washer)

    Asante sana kwa ushauri wako na nitaufanyia kazi Ubarikiwe kwa kunitoa gizani
Back
Top Bottom